Hatimaye Jairo apigwa chini bila huruma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Jairo apigwa chini bila huruma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Matatizo, Jan 2, 2012.

 1. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani rais kesha chagua katibu atakaye kalia kiti cha JAIRO.Nadhani sasa ni rahisi kumpeleka MAHAKAMANI kama wataweza.
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Anasubiri kuwa balozi...
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,161
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  God forbid, hiyo ndege itasukumwa na wafanyakazi mpaka ipae.
   
 4. N

  NimaA Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tupumzike na ya kina jairo na wenziye sasa!
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,801
  Likes Received: 6,611
  Trophy Points: 280
  kama si kuwa balozi basi ni mkuu wa mkoa we subiri uone!!
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,097
  Likes Received: 10,411
  Trophy Points: 280
  asee u made ma day dude!!! Ila anatakiwa aswekwe lupango km kina lyumba halaaaa
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,437
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Anasubiri kupangiwa kituo kingine cha kazi.
   
 8. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 858
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Dah ukiangalia jinsi alivyosukumwa mpaka roho za watanzania ZINAUMA!Dah kweli JK hapo kaanzia pazur akiweza kumpeleka mahakamani nitamsifu sana
   
 9. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,307
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  kWA TANZANIA TUNAYOIFAHAMU, ATAENDELEA KUPETA TU
   
 10. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,159
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tupumzike kwani yalikuwa yanatukabili na sisi? Wewe fisadi kibaraka nini!
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,559
  Likes Received: 1,285
  Trophy Points: 280
  Wapi ngereja aende kumpa na pole, si alitoroka bungen kwenda kumpokea alivyorudshwa na janga luhanjo.
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,718
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kwa kosa gani?!, ujenzi wa twin towers haukuwa na dosari, kesi ya Liyumba inakisababishi kingine, Jairo hana kisababishi kingine. Atapeta tu.
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,437
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 14. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hawa wazee wasengenyaji kweli!
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,097
  Likes Received: 10,411
  Trophy Points: 280
  ahaaa kumbeeee
  ni kama yule mdingi
  pesa2 wanazungusha
  kesi weee then
  hukum inapotezewa!

  I really love ma counry
  kila kitu muzuri
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,097
  Likes Received: 10,411
  Trophy Points: 280
  kila nkisoma hii post
  naangua kicheko
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,437
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Kwa mtindo huu lazima ndege isukumwe mpaka ipae.
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,553
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  Ona wanavyoyapa taabu masaburi yao
   
 19. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 305
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mnamuonea Jairo kwa vimilioni vinne tu kwa miezi miwili ya kikao cha Bunge, mbona DG wa PPF bw. Wiliam Erio anavuta dola 1012 kwa kila mchana awapo nje ya nchi?


  Soma Dira ya Mtanzania last week, ana safiri over JK kwa kutumia michango yetu

  Hata Liyumba hakuwa kama huyu DG wa PPF yeye anahonga nafasi za kazi sio vyekundu.


   
 20. V

  VAMPA Member

  #20
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngeleja atamsindikiza uwanja wa ndege pindi atakapo kuwa akielekea kazini kama balozi mteule.
   
Loading...