Wabunge wengi hufa mara tu baada ya kumaliza muda wao bungeni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wengi hufa mara tu baada ya kumaliza muda wao bungeni!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Capt Tamar, Feb 1, 2012.

 1. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Sababu ni hali ngumu ya maisha waliyonayo wabunge wa TZ. Source. Makinda
   
 2. n

  nakuja Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wanakuwa wameshapata posho ya kutosha kuishi maisha ya sayari ya 3 inawabidi waelekee sayari nyingine wakaendelee na yanayojiri huko.
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Khaaaaa
  kwanini asiseme
  wanakufa sbb
  posho znakatika
  pamoja na magonjwa ya kidoti com?
   
 4. v

  valour Senior Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama hawawezi ku 'manage' finances zao sasa tutawasaidiaje. Wao wamekalia kushindana. Kwanza lazima tuwakumbushe kuwa kazi ya ubunge walituomba tuwape kura. Wengine walituhonga na wengine wakatupigia magoti. Sasa wasilinganishe na kada nyingine ambazo wao waliajiriwa kwa kazi zao, ingawa pia napinga posho katika sekta zote. Kama pesa haziwatoshi ni kubwaga manyanga aje yule anayejitolea na sio kuwaongezea pesa. Wabunge wetu wengi wamelimbuka kwahio wanataka kujaribu kila wanachokiona mtaani
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Posho zinakatika?sijakusoma please. Au unamaanisha kuwa matumizi yao ni makubwa kuweza kwenda sambamba na posho hizo? Lakini amenitisha zaidi alipodai kuwa. Mbunge anamaliza muda wake february anakata kamba. April. Ina maana kipindi hicho kifupi cha miezi miwili tu kimetosha kukwangua viji faranga vyake vyote?nna shaka! Au kuna man made issue
   
Loading...