UDOM FINAnCING MIX | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM FINAnCING MIX

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TODO, Feb 1, 2012.

 1. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  NSSF imechangia 277.72 billion kwa ujenzi wa chuo..Hakika wanastahili sifa maana chuo kwa maana yabmiundo mbinu.kilichobaki nibswala la utawala na mambo kama hayo.thanks
   
 2. mka

  mka JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hao NSSF nani anawasimamia kuhakikisha kuwa wanawekeza kwa umakini na kutotumia vibaya hela za wanachama? Nani anasimamia kuhakikisha kuwa NSSF ni responsible investor na anafuata good corporate governance practices?

  Je ni wawazi katika miradi wanayowekeza? Je Wanachama wao wanashirikishwa katika maamuzi?

  Maana tusifurahie kuwa wanajenga tu majengo kumbuka NSSF ipo kwa faida ya wanachama, inapaswa wawe wazi na responsible kwa wanachama! Je mradi huo wa udom unamfaidishaje mwanachama?
   
Loading...