"MIPOSHO" ya WABUNGE,UKWELI NI UPI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"MIPOSHO" ya WABUNGE,UKWELI NI UPI?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpigaji, Feb 1, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sakata la Miposho ya Wakalia Sponji kule Mjengoni limepata sura mpya pale ambapo Kurugenzi ya Rais upande wa Mawasiliano ilipokanusha kauli za viongozi wa Serikali Mjengoni kwamba Mkuu wa Kaya ameridhia Miposho ilipwe kwa Kukalia Sponji tu!Kurugenzi imesema:Mkuu wa Kaya hajaidhinisha Mipasho kuongezwa,amewaomba wabunge wafikirie upya suala hili!Supuika wa Mjengo anasema Miposho imeanza kulipwa!UPI NI UKWELI?
   
Loading...