Ushauri wa Bure kwa JK Kuhusu Mgogoro wa Madaktari: Muondoe Blandina Nyoni Afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa Bure kwa JK Kuhusu Mgogoro wa Madaktari: Muondoe Blandina Nyoni Afya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Huihui2, Feb 1, 2012.

 1. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwako JK,
  Toka sakata la madaktari na wizara ya afya lianze takriban mwezi mmoja sasa tumeona majibishano mengi kati ya watendaji wa wizara, madaktari na jamii nzima kwa ujumla. Aidha humu JF kuna threads zaidi ya 20 ambazo zimefunguliwa kuhusu sakata hilo. Japo kuna madai mengi ya madaktari lakini moja ambalo lipo katika kila thread ni kutotakiwa kwa Blandina Nyoni kama KM wa wizara kutokana na udhaifu wake na tuhuma mbalimbali ambazo hatujathibitisha. Japo wewe ndiyo unayejua utendaji wake lakini kwa taarifa tunazoziona hapa, Blandina anakuangusha sana kama kiongozi wa nchi. Ombi, MTOE WIZARA YA AFYA MTAFUTIE KAZI NYINGINE YEYOTE KWANI ATHARI ZA KIBURI CHAKE NA UDHAIFU WAKE ZINAGHARIMU MAISHA YA WATANZANIA
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,483
  Likes Received: 5,719
  Trophy Points: 280
  Ni sawa na kumwambia mzee wetu sitta kule amfukuze mama sitta
  hapo umechemsha mkuu kazi ni ngumu hao ni pete na kidole
   
Loading...