Vijana watumika kama condom, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana watumika kama condom,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kirode, Feb 1, 2012.

 1. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna mbuge anaongea bungeni anadai huko dar vijana wanadai wanasiasa wanawatumia kama condom kisiasa, swali ni kweli? Nawakilisha
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa Tarime Nyambaf Nyangwine
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mbunge mwenyewe ni nani? ni muhimu kumfahamu ili kujiridhisha kama ni mtu mkweli ama ni wale wapika majungu na fitna!!
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama ni huyo poti poti wala msipoteze muda wa kumjadili ama kujadili kauli yake. Anasumbuliwa na laana ya wazee wake!!
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mbona mnatuchekesha yaani nimecheka mpaka nimetoka machozi
   
 6. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mwache ataambiwa akae chini muda si mrefu.........."Nasema kaa chini"
   
 7. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mkuu fafanua zaidi, vijana wanatumika kama kondom kivipi? Sijaelewa.
   
 8. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  "hausikii?kaa chini"
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135


  kama kusoma tabu hata picha mkuu huoni!!????
   
Loading...