TBC acheni ubabaishaji mna bore sana! Aaargh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC acheni ubabaishaji mna bore sana! Aaargh

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkonomtupu, Feb 1, 2012.

 1. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wadau,
  nikiwa nafuatilia azimio la serikali kuhusu charter ya vijana kwa umakini mkubwa. Umefika wakati anachangia mh. Felix Mkosamali mara matangazo yakaanza kuingiliana. Nasikia mdada mmoja anasoma 1..2..3..4..5 mara anaanza kusoma habari huku ikiingiliana na mchango wa Mkosamali. Huu mimi ninauita "uhuni"
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Katika utendaji kazi wowote huwa kuna hitirafu inaweza kujitokeza. Mimi mwenyewe nimesikia lakini ni tatizo dogo tu la kiufundi ambalo halikuathiri usikivu wa hotuba ya Mkosamali. Wana JF tusiwe watu wa kulalamikia kila kitu hata vijambo vidogo vidogo kama hili.
   
 3. aseenga

  aseenga Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  kawaida yao hao, kwani huoni wakati wa kusoma taarifa ya habari. badala ya kwenda mbele wanarudi nyuma:A S 465:
   
 4. aseenga

  aseenga Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  wamrudishe Tido Mhando coz yeye ndo alikua nguzo yao.:A S embarassed:
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  leo nimeona wanatangaza habari za Valentine day
   
 6. m

  mwikumwiku Senior Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli tutamkumbuka Tido Muhando! Upuuzi huu ulikwa hakuna! Sasa kila kitu tbc ni mdebwedo! Yale Yale ya tvt na radio Tanzania ya enzi za "Pugu Road"
   
 7. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu Vgl,
  kwangu mimi hili sio mara ya kwanza kulishuhudia ni zaidi ya mara 5.
  Pili nakuomba fuatilia threads zangu hapa jamvini utagundua nyingi kama si zote huwa nazifanyia "kajiutafiti" kidogo kabla sijatuma humu thats why sina msururu wa threads. Mchana mwema
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ndo maana huwa sifuatilii coverage zao coz siku izi wanampatia muda mwingi MAMVI kana kwamba bado ana madaraka
   
 9. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  watu kama ninyi ndio mnaturudisha nyuma kila siku. Kwa nini hayo matatizo yawe TBC peke yao? Kuna thread ya hapo nyuma ambayo inaelezea matatizo ya TBC toka Tido Mhando aondoke pale. Ukweli ni kuwa kwa ilivyo sasa TBC inatuonyesha hali halisi ya waTZ kutokuwajibika hata kwa mambo muhimu ya kitaifa. It is boring to watch TBC news every single day!

  Watu wanajichekesha chekesha kama punguani kwenye runinga ya taifa ambayo mimi na wewe tunaichangia. Juzi tu, twiga Stars wanacheza mpira badala ya TBC kuonyesha, wanatuwekea upuuzi wa Bongo flava masaa mawili mfululizo! Jana jioni hata kipindi cha bungeni hakipo, Vipaumbele vyao ambavyo havikosi ni Charechereko, Bango, etc

  Kifupi - TBC wanachefua, wanatudhalilisha kama taifa kwa kuonyesha jinsi tulivyo wazembe kama Taifa!!!!!
   
 10. Patrickn

  Patrickn JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 7,484
  Likes Received: 3,832
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli TBC wanaboa yaani ni aibu kila cku ukiona taarifa ya habari wanachemsha... mara habari haiko tayarii...mara habari kama ina skrachi mara tujiunge na mwandishi halafu kimya.... Mmerogwa na nani mbona hamkua hivyo? Mnaenda mbele mnarudi nyuma?
   
 11. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kama juzi hapa mtangazaji kama sijakosea Grace au Joyce somebody alikuwa anasoma habari ihusuyo mgomo wa madaktari Mbeya huku hewani inakurushwa habari ya msaada wa shule mmoja huko Sumbawanga. Hii ni almost kila siku inajitokeza "tusisemee.?"
   
 12. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,529
  Likes Received: 1,314
  Trophy Points: 280
  Everything national in this country is pathetic.....huwa najiuliza hawa tbc wanafanya kazi kwa niaba ya nani siku hizi??maana hata uhuru wa kupata habari kwa kupitia vyombo vya taifa inakuwa shida nchi hii...hakika tunarudi nyuma kama taifa....ukijaribu kufatilia bunge sessions kwa tbc taifa radio (hata kwa internet)vipindi vya maswali vikiisha nao wanaondoka hewani...cha ajabu ungefikiri wanaondoka hewani ili waje na mambo ya msingi lakini cha ajabu wanakuja na vipindi vya kipuuzi puuzi tu....hata hao watangazaji unaona hamna kitu kichwani...its really pathetic.....hata Zimbabwe wanatuzidi......hawa tbc wanashindwa hata kuonyesha uzalendo kwenye michezo.....mfano sasa mataifa ya africa wanaangalia mechi za kombe la africa kwa kupitia TV zao za taifa...ukitaka kuona kombe la africa bure(free)kwa internet kwa kupitia tv ya zimbabwe(ZBC)unaweza tu.......tv4africa.com...then unafungua ZBC uanapata issue free of charge.....ukija tbc ni aibu tu...very hopeless indeed....katika vyombo ambavyo taifa linaweza kuvitumia kujijenga hata kimataifa ni tv lakini hapa kwetu ni longo longo tu............
   
 13. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,825
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  Wamechoka kweshnei kabisa wale
   
 14. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  naomba ufanye hivi kila siku saa 2 kamili angalia tbc taarifa ya habari kwa muda wa wiki moja 2 halafu unipe asilimia ya siku ngapi hazikuwa na walakini!nakuunga mkono mi kila nikitazama taarifa ya habari usiku siachi kukasirika,wajirekebisha,halafu kusema samahani hawawezi ni kutoa macho 2,
   
Loading...