Umri wa kustaafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umri wa kustaafu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Akida kaka, Feb 1, 2012.

 1. A

  Akida kaka Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tupunguze umri wa kustaafu ili na vijana tupate kazi
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Usitegemee kuajiriwa wewe
   
 3. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hoja ya mtoa hoja ni sahihi, kwani nini lifespan ya mTZ inashuka harafu umri wa kustaafu unaongezwa, vijana wanapigwa changa la macho;

  Pamoja na kusema tusitegemee kuajiriwa lakini ujue tumeandaliwa kuajiriwa, hivyo kwanza tupate hizo ajili wakati mitaala inalekebishwa ili tujiajiri
   
 4. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Haiingii akili kuona Luhanjo (mfano tu wa wazee) bado anafanya kazi, na sisi tufanye wapi? Sio vijana wanaogopa kujiajiri bali ni wazee anaoogopa kustaafu kwa kuongeza muda ndo changamoto katika maisha yetu vijana; UONGO UKWELI???
   
 5. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Tumesoma mitaala inayolenga tuajiriwe, tunamaliza kusoma mnatwambia tujiari, mmetupa hiyo mitaji? Kama nyinyi wazee baada ya kupiga ajira miaka karibu 30 bado mnaogopa kustaafu mjiajiri je ni haki kumwambie kijana afanye hivyo?
   
 6. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Tumesoma mitaala inayolenga tuajiriwe, tunamaliza kusoma mnatwambia tujiajiri, mmetupa hiyo mitaji? Kama nyinyi wazee baada ya kupiga ajira miaka karibu 30 bado mnaogopa kustaafu mjiajiri je ni haki kumwambie kijana afanye hivyo?
   
 7. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  mnajua nini elimu yenyewe ni ya UPE!!!! vyuo vikuu fake vimeanzishwa afadhali wakae wazee wa zamani. Angalia hukumu zinazoandikwa na majaji wa siku hizi, zilinganishe na za akina jaji Lugakingira, Katiti, Mroso etc, unaona kuwa walikuwa wamekwenda shule!!! Wakatabahu, msinipige mawe jamani, sawa wazee umri upunguzwe!!!!
   
 8. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,803
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  umri wa kustafu ndio nini....? wazee na mikongoja yo wanagewa nafasi, sijui wafie humo?
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,059
  Likes Received: 6,506
  Trophy Points: 280
  no comments.
   
 10. R

  Renegade JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kwamba ukizeeka utaongeza tena.
   
Loading...