Wafanyakazi wa machimbo ya north mara kugoma kuanzia Ijumaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi wa machimbo ya north mara kugoma kuanzia Ijumaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muke Ya Muzungu, Jan 31, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  kuna tetesi kwamba wafanyakazi katika machimbo ya dhaabu ya nyamongo uende wakaanza mgomo wakidai nyongeza ya malipo kadhalika kuishinikiza serikali kuwalinda dhidi ya unyanyasaji na unyama dhidi yao unaofanywa na wazungu. tutawajuzi zaidi mara habari zaidi itakapopatikana

  Source: mfanyakazi wa machimbo ya north mara
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  mbona watakoma mwaka huu? ccm inanyea debe kusema kweli na bado
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tetesi!!!!
   
 4. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ccm inaingaje hapo..cjaelewa
   
 5. W

  Wakumulika Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo inaikingia kifua kampuni hii ya kibepari kupitia Serikali hii ya CCM,vp we mwanachama,mwenyechama au mkereketwa?
   
Loading...