NBC ltd hamna akili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NBC ltd hamna akili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FADHILIEJ, Feb 1, 2012.

 1. FADHILIEJ

  FADHILIEJ Senior Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  naomba uongozi wa nbc ufikishiwe ujumbe huu kuwa wametumia miguu kufikiri,WANAAMUA KUFUNGA A.C YANGU KWA KISINGIZIO CHA KUUPDATE INFORMATION WAKATI WANAWEZA KUNIJULISHA KWA SIMU,POSTA ,MAIL NK,WIKI MBILI ZILIZOPITA KWA KUZINGATIA TANGAZO LAO NILIFIKA NBC ARUSHA KUJUA KM KUNA TAARIFA ZHNAZOHITAJIKA KWNY A.C YANGU WAKASEMA HAKUNA,LEO NIKO SAFARINI KARATU SAMOJA KAMIL NAFIKA KWNY ATM MASHINE NAGUNDUA WAMEFUNGA A.C.HAKI YA MUNGU NBC NA UONGOZI WENU NI WAPUMBAVU,HAPA NAHITAJI HELA TAFANYAJE?
   
 2. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Last week jamaa yangu mmoja nae alikumbwa na mkasa huo! na wakamtaka aende tawi alilofungulia only to deliver taarifa zake! Kitu ambacho wanaweza kufanya kwa mtandao! Inashangaza sana jinsi wanashindwa kutumia mitandao kurahisisha mawasiliano na wateja! wangetoa tangazo kwa mfano gazetini na kuwataka wateja wao wa update information zao kupitia link fulani ambayo wangeiandaa kwa shughuli hii. Very crude ways bado wanatumia!
   
 3. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: content"][TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD="width: 50%"][h=1][​IMG][/h] NBC Ltd. Head Office
  Sokoine Drive & Azikiwe Street
  P.O. Box 1863, Dar es Salaam, Tanzania
  Tel: +255 22 2111970/1 2126066
  Fax: +255 22 2112887/ 2113749
  E:-Mail: contact.nbc@nbctz.com
  Website: National Bank of Commerce - Conveniently Everywhere
  [/TD]
  [TD="width: 20"] [/TD]
  [TD="width: 50%"] [h=1][​IMG][/h]
  Click here to locate your nearest branch.


  [​IMG]
  Please click here to send us your feedback.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: content_bottom"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD] [h=1][​IMG][/h][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: content2"]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="width: 50%"]
  Corporate Credit
  Tel: +255 22 2115138
  Fax: +255 22 2116964 ​
  Finance
  Tel: +255 22 2116953
  Fax: +255 22 2112367
  Operations
  Tel: +255 22 2110895
  Fax: +255 22 2123930
  Human Resources
  Tel: +255 22 2111373
  Fax: +255 22 2113749
  Information Technology (IT)
  Tel: +255 22 2127233
  Fax: +255 22 2123930
  Risk
  Tel: +255 22 2112206
  Fax: +255 22 2135191

  [/TD]
  [TD]
  Retail Credit
  Tel: +255 22 2111970
  Fax: +255 22 2111613 ​
  Corporate Banking
  Tel: +255 22 2666815
  Fax: +255 22 2666062 ​
  Retail Banking
  Tel: +255 22 2112888
  Fax: +255 22 2113749
  Internal Audit
  Tel: +255 22 2128340
  Fax: +255 22 2111837 ​
  Treasury
  Tel: +255 22 2111803
  Fax: +255 22 2113402 / +255 22 2120508


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  au unataka contact za MD au COO?
   
 4. FADHILIEJ

  FADHILIEJ Senior Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  what do you mean,hizo address zitanisaidia nini,achen kufanya kazi kama wanasiasa,mmesoma wapi?
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kuna jamaa yangu pia aliniambia kuhusiana na Nbc na yeye alifanyiwa hivyo, kumbe ndo wanafanya mambo ya kijinga namna hiyo! Nimekwisha wasoma.
   
 6. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ni kama wakati wa sensa ya Kaisari kila mtu alipaswa kwenda kwenye mji aliozaliwa ili ahesabiwe!
   
 7. u

  utantambua JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thanx kwa taarifa, siweki hela tena NBC nahamia kwenye kabenki kangu kadogo hadi pale malalamiko haya yatakapokwisha.
   
 8. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mi wameshanichosha yaani wananicheleweshasalarii yangu mpaka kero imagine unakaa siku nne ndio unapata salarii wakati benki zingine wanakuwameshamaliza hela daaaaaaaaaah hawa jamaa wanajifanya monopoly sanaaaa imekula kwao kwakheri yakutoonaana NBC byeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kaa huko huko. Hili zoezi linafanywa na Bank zote, ila nashangazwa na hatua ya nbc kukimbilia kufunga account
  za wateja. Ndugu Mteja: Kama unataka kubadili bank nijulishe nikuelekeze tawi la bank yetu lilipo ukafungue account.
   
 10. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,167
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Ngoja nami nikatest zali
   
 11. I

  Imurumunyungu Senior Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja niwahi nikacheck na mimi nijue kama nimesalimika. Make hizi BANK za MAKABURU hazieleweki unaweza kuta walisha fika south Africa muda mrefu.KABURU HAFAI HATA KIDOGO.CZO BINADAMU WA KAWAIDA Wale.
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Hili zoezi halifanywi na benki zingine? Ni NBC tu?
   
 13. k

  kkitabu Senior Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na mimi pia nilipatwa na hii taabu ya kufungiwa akaunti eti kwa sababu kuna fomu ambazo nilitakiwa kujaza katika tawi nilikofungulia akaunti yangu. Nilisurika kukosa mshahara, nilihudumiwa dirishani kwa "cashier" baad ya kutakiwa kuonyesha "card" ya mpiga kura.
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kama NBC ndio kero hizo basi huko NMB si ndio balaa.Yani siku hizi Posta wanawaacha kwa mbali sana.
   
 15. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Yaani bado mnaweka pesa benk? sisi wezenu benk tunaenda kuomba mikopo tu. Tunaweka milioni kwenye account, kisha mwisho wa mwezi unaichukua, baada ya siku kama 15 hivi unairudisha tena ilele, kisha tena mwisho wa mwezi unatoa, ukienda omba mkopo watakupa hata milioni 200 wakijua pesa yako ina mzunguko. DO NOT TRY THIS PLEASE.
   
Loading...