Ma dk msirudi kazini mpaka waziri mkuu abatilishe usemi wake wa kuwafukuza else mtakuwa wehu wote!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Kama waziri mkuu anathubutu kutangaza hadharani wabunge waliokosea wabatilishe usemi wao
naomba ma dk wote najua mnatupenda mna mapenzi mema na sisi lakini hata wakiafiki kuwalipa mafao yenu
naomba msirudi mpaka muhakikishe waziri mkuu anabatilisha usemi wake kwamba kila asiefika jumatatu kazini amejifukuzisha kazini

kisheri a kiongozi mkubwa kama huyu anaejizalilisha kwa kushindana na rais kuhusu posho za wabunge ni kwamba mmeshafukuzwa kazi..so sioni kuna umuhimu wa nyie kukuutana na waziri mkuu labda waziri mkuu mwingine maana ameshawafukuza kazi wapendwa .....lazima mjue neno linaumba ..mnaweza kurudishwa akachomoka na ka group kadhaa akisimamia kwa usemi wake na hivyo kuruhusu tena kuanza kugoma kwa ajili ya wachache kwa tatizo la kijinga

mgomo tu ndio soln ya hii nchi kama wanaiba kwa maandishi kwa nini na nyie msidai haki zenu bana
 
Back
Top Bottom