Takwimu za migomo ya wafanyakazi tanzania tangu 1995-2012

asha ngedere

Member
Nov 6, 2009
92
11
Habari wakuu. Natambua watanzania wengi wanaumia kutokana na kukosa huduma za afya kufuatia mgomo wa madaktari. Tunahitaji kujikumbusha, na ninaomba msaada wenu kwa faida ya walalahoi wenzangu/wenzetu, mwenye kumbukumbu nzuri hivi tangu mwaka 1995 mpaka 2012 kumekuwepo na migomo mingapi? - Ya wafanyakazi wote; Madaktari pekee; Wanafunzi wa vyuo vikuu, msingi na sekondari; Wenye mabasi ya kwenda mikoani; wenye daladala; na kadhalika. Tafadhalini wadau.rgds
 
Duuuuuuuuuuuu ngoja tusubirie wajuzi watuambie mie naikumbuka hii ya juzi juzi tu ya jeikei
 
Mkuu, hata hiyo unayoisema, waweza kuiweka ukiandika tarehe mgomo husika ulipoanza. si vibaya, mkuu.
 
yaani mkuu tangia ujiunge jf 2009 bado hujajua wapi pa kupost thread ipi?. umeniskitisha sana. Mia
 
Back
Top Bottom