Mishahara yenu ninyi na familia sie ni pamoja na wanaoomba omba misaada mjue hili-bi kiroboto makind

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,134
Kama tutaendelea hivi sidhani kama tutafika
anna makinda nani aliewahi kukuomba pesa mpaka ukasema ati sisi tunapewa mishahra sababu ya familia
ninyi mnakuwa na shida sababu mnaombwa na wananchi...hivi wakati unajitayarisha kugombea ubunge uliaga unagombea ubunge kwa ajili ya baba na mama yako mzazi ama na familia yako

mlikuwa amjui mmeenda bungen kuwakilisha watanzania waliowachagua jamani???
Hivi kwa nini mchukue dhambi za watanzania we makinda unakaa dar muda gani mpaka uende huko
kwenu kugawa pesa..we umekuwa mimpesa ama mitigo pesa???umeomba ubunge ukamtunze mwanao pekeyake
mbona hivyo we mama unantutia kichefu cchefu ati

aibu yenu aibu yetu 2015 na nyie wapiga kura somen nyakati timueni wapuuzi kama hawa..kwenye katiba kuwepo na kipengele cha kutimua wabunge kabla ya muda wake kama afanyi kazi ...unaombwa na wangapi mama na vipi wanaomba vipi unagawa vipi unawanyima??
 
Hivi mungu watu kama hawa kwanini usiwadake pale ruvu ama kibaha sehemu yetu jamani tuachane na makelele haya??
 
Back
Top Bottom