Maisha magumu Dodoma

nanchi

Member
Jan 29, 2012
66
7
Ndugu zangu watanzania,maisha yamekua magumu dodoma kwa wabunge na mawaziri pekeyao, au hata na wafanya kazi na wananchi wote kwa ujumla?naona wabunge wameboresha mishahara yao kwa kuongezeana posho. Vipi kwa jeshi la polis,walimu wetu,wanajesh,mad,aktar,manesi,mikopo kwa wakulima wadogo,mikopo kwa machinga,hebu tusaidiane majibu kwa wale mnaolifahamu hili suala kwa undani zaidi.
 
Anyway hili limesemwa sana nadhani hakuna haja ya kuliongelea sana ila ukipata theory ya Davies and Moore inayoitwa stratification utaweza jua kwa nini wabunge wajiongezee posho kwa kisingizio cha maisha magumu. Au soma kidogo hata gooogle sociology of management waweza pata majibu mazuri zaidi
 
Back
Top Bottom