NSSF Stakeholders furum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NSSF Stakeholders furum

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TODO, Feb 1, 2012.

 1. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkutano umeanza.wabunge wengi kwelikweli utadhani jana hawakuwa dodoma.kwa hili nadhan tunaimprove miundombinu.mbele yangu yuko zitto kabwe, deo furikujombe.
   
 2. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Wamefata posho hao, wana ajenda gani za msingi kujadili na NSSF?
   
 3. ram

  ram JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,224
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  Sorry bro! Namfahamu marehemu mzee Moamed Kisusi, wewe ni kijana wake au majina tu?

   
 4. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  NSSF limekuwa ngome la wezi, hivi kwa nini ni rahisi sana kukosea michango ya mtu? mbona system za benki hazikosei kwa kiwango hicho, kila michango 10, 3imekosewa ni nini hii?, Je kwa nini michango isome kwenye system after 6 months??? mbona benki sio hivyo??

  Wazee wetu kijijini wanaibiwa sana maana hawana namna ya kubishana na wezi walioko mjini, inabidi wachukue tu kilichopo. Hii ni mpaka lini???
   
Loading...