Black Jesus
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 256
- 9
katika miaka hii ya karibuni tumeshuhudia matokeo mengi katika Nchi yetu, miongoni mwa hayo ni kueleweka kwa Viongozi wanao shutumiwa na Ufisadi zidi ya mali za nchi, na kundi jengine ni lile la Vigogo wa Madawa ya kulevya ambao majina yao yapo kwa Mheshimiwa Rais kwa muda mrefu sasa.
Chakushangaza hakuna hatuwa zozote zilizochukuliwa au zinazochukuliwa za kisheria zidi ya watuhumiwa hao isipokuwa ni porojo na ahadi za uongo za viongozi wetu na vyombo vya dola.
Hivi ndugu zangu watanzania wezangu nini kifanyike, nini tufanye tuondokane na hali hii ya kidanganyifu iliyodumu kwa muda mrefu sasa ?