Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bukoba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by adobe, Feb 3, 2012.

 1. a

  adobe JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,565
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Huu ndo mji wetu wa bukoba.hebu wana bukoba tuache mashauzi huku miji ya watu tuendeleze kwetu.
   
 2. s

  sanjo JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 939
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo ni wapi? Kashai, Kahororo?
   
 3. Amanda

  Amanda Senior Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapana hii nyumba iko pale Msoga
   
 4. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hapo ni katerero.
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,010
  Likes Received: 3,611
  Trophy Points: 280
  Mbona poa tu, nyumba ya bati. waendeleze vipi, uende umtoe mtu kwenye kijumba chake ujenge kwa vile nyumba haifai? au kwa vile una pesa!!! Tupe wazo la pili basi
   
 6. m

  mukama talemwa Senior Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwani DAR nyumba kama hizo hakuna?mtoa mada anasema tuache mashauzi,sijamuelewa,kwani hiyo picha kaipiga lini na sehemu gani ya mji ,au anamaanisha ndani ya manispaa maana katikati ya mji hakuna kitu kama hicho.Watu ambao hamjawahi kufika Bk msiofu pako bomba kichizi mji msafi barabara nyingi ni za rami na majengo mazuri mazuri yanazidi kujengwa ikiwemo mahotel mazuri na yakisasa kabisa.Kwahiyo mkipangiwa kazi Bk mtakula bata pale town
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hiki ni kivutuo kimojawapo cha utalii.
   
 8. Arabii

  Arabii Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rwamishenye hapo.
   
 9. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Unajua katerero tu?
   
 10. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Safi sana mkuu hapa dar nyumba kama hizi zimejaa kibao hawajui kama bukoba kuna nyumba nzuri kushinda za dar
   
Loading...