Tatizo ni kwamba hoja yao haikuungwa mkono, hivyo tunaendelea, katibu...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo ni kwamba hoja yao haikuungwa mkono, hivyo tunaendelea, katibu......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wazakwanza, Feb 2, 2012.

 1. W

  Wazakwanza New Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kamgomo ketu ka kudai maslahi, nipo kwenye ka-zahanati kangu hapa Mikocheni, naangalia kinachoendelea Mjengoni, nawasikia Wabunge Ndugulile na John Mnyika wakitaka suala la mgomo wa Madaktari lijadiliwe kama jambo la dharura Bungeni kwa ajili ya mustakabali wa maisha na afya za watanzania. Hivyo wanaomba Mwongozo wa Naibu Spika.Naibu Spika anashikwa na mashiko ya hoja ya wabunge hao lakini hataki mustakabli wa afya za watanzania kujadiliwa Bungeni anasema Hoja yao haijaungwa mkono na mbunge yeyote hivyo anamwelekeza katibu wake kuendelea kutamka ratiba ya shughuli zinazofuata. Nae Katibu wake anatii na kusikika akisema "Maswali". Wabunge wanaguna, mguno wa laana kwa watawala, mmmmmmmm. Lakini wanaendelea!Sasa najiuliza hivi huko mjengoni hawa watu wamepelekwa na nani kama siyo watanzania hawa hawa wanaokufa baada ya mgomo wa madaktari?WAZA KWANZA!
   
 2. l

  luckman JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Chama cha matajiri, wakiugua wataenda nje kuhusu mgomo ni maskini wataabika!
   
 3. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hahaha kijana wanatafuta umaarufu hawa mabwana wadogo huu ni mwaka mmoja tu hela ya mkopo wa kugombea ubunge sijalipa wanafikiri nile polisi???? hoja kama hii atoe 2014 allaha posho tunataka 500,000 kwa kikao
   
 4. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello waza wewe huyo mtu jina lake ni kiroboto,kaka yake anaitwa vasco dagama,samahani kwa usumbufu.
   
 5. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bi mkora ana kazi sana ya kukibeba chama
   
Loading...