Jamani Tanesco Kulikoni

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Wakati kilakona ya Jiji la Mwanza Ccm wako busy na sherehe za chama kitaifa zitakazofanyika jijini hapa tarehe 5 mwezi huu ,wakazi wa jiji tunalia na kusaga meno juu ya mgao wa giza tulonao sasa yapata siku ya nne.Hivi namikoani kuko hivi?
 
Hicho kilio tulisha kizoea ndo maana mi niliamua kununua solar!
 
Back
Top Bottom