Nahisi Tanesco wanatumiwa ili kukata umeme tusitazame bunge.

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
714
208
Inanikera sana hii tabia, jana jioni walikata then bunge lilipoisha wakarejesha, leo baada ya maswali na majibu wamekata then wanasubiri ifike saa saba warudishe ili saa kumi na moja wakate tena. Siwapendi tanesco nasema nawachukia hakuna mfano.

Hili linchi sijui tukimbilie wapi kwani kila idara imeoza, eee Mungu tuhurumie watanzania sikia kilio chetu, ondolea mbali hii serikali ilojaa uoza.
 
Back
Top Bottom