Jambo leo na TBC... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jambo leo na TBC...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sexologist, Feb 3, 2012.

 1. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Leo katika kipindi cha Jambo Leo na TBC ni George Simbachawene na Tindu Lissu..... Simbachawene anashauri umefika wakati wa vyama vya siasa kuwa kitu kimoja Bungeni kwa manufaa ya wananchi na pia si busara kuonyesha personal interest ya chama (kisiasa) bungeni, kwa kuwa watanzania wenye mapenzi na siasa ni wachache mno ukilinganisha na maadui wa siasa.. Tindu Lissu anasema siasa bungeni haikwepeki na ndio maana ya kuwa na vyama vingi, ila cha muhimu nin maslahi ya watanzania. Na kwamba kazi ya bunge sio kuikubalia serikali kwa kila kitu, bali ni kuikosoa na kuihoji. Simbachawene anasema migomo ya madaktari si sahihi na kwamba serikali haiwezi na haitaweza kutekeleza madai yao (nyongeza ya mishahara)... Tindu Lissu anashangaa kuona Tanzania pekee ndio ambako madaktari wanagoma, anaishangaa serikali kwa kuleta ubabe kwenye masuala nyeti kama haya..

  Nimeona tushee kasehemu kadogo ambako ni heading za habari kwa sasa.
  Nawasilisha
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kweli Siasa inayofanywa na CDM ni siasa advanced, Pinda na Makinda waliingia mkenge japo ni wazi walikuwa wanajaribu kulinda vitumbua vyao wakijua wazi Magamba wenzao hawachelewi kuwapigia kura ya kutokuwa na imani zao
   
 3. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 1,364
  Trophy Points: 280
  cha msingi hapa serikali iwape madai yao hao madaktari na serikali kusingizia kua haina hela wakati wao wanalipana hela nyingi sio vizuri
   
Loading...