JK the best president of Tanzania kutua bongo na kuhutubia taifa

shykwanza

Senior Member
Nov 28, 2011
156
30
Katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa Taifa;

1. Inshu ya Jairo na CAG
2.Kupanda kwa gharama za Umeme
3 Posho mpya za Wabunge
4.Mgomo wa Madaktari na maslhi ya Watumishi wote wa umma na Binafsi
5.Mafanikio ya safari yake ya DAVOS
6. Mchakato wa Katiba Mpya
7. Kubadili baraza la mawaziri na Makatibu wakuu
8.Kukua kwa uchumi wa Taifa na kupanda kwa thamani ya Shilingi
 
i will be willing to watch kama ata promise hatakua akicheka cheka wakat anaongelea izo issue!
 
Vitu vyote vimeishafanyika ndiyo anataka kuviongelea mie nilidhani atakaza hizo posho na mambo mengine, sidhani kama takuwa na muda wa kumuangalia bora nitizame catoon..
 
Katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa Taifa;

1. Inshu ya Jairo na CAG
2.Kupanda kwa gharama za Umeme
3 Posho mpya za Wabunge
4.Mgomo wa Madaktari na maslhi ya Watumishi wote wa umma na Binafsi
5.Mafanikio ya safari yake ya DAVOS
6. Mchakato wa Katiba Mpya
7. Kubadili baraza la mawaziri na Makatibu wakuu
8.Kukua kwa uchumi wa Taifa na kupanda kwa thamani ya Shilingi

Unaota au unapenda aongelee hayo?? Hivi kwa akili yako ya kawaida tu unafikiri atawambia nini wananchi mpaka waridhike??? Kati ya hayo anayoweza kuongelea ni katiba!!!
 
katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa taifa;

1. Inshu ya jairo na cag
2.kupanda kwa gharama za umeme
3 posho mpya za wabunge
4.mgomo wa madaktari na maslhi ya watumishi wote wa umma na binafsi
5.mafanikio ya safari yake ya davos
6. Mchakato wa katiba mpya
7. Kubadili baraza la mawaziri na makatibu wakuu
8.kukua kwa uchumi wa taifa na kupanda kwa thamani ya shilingi

hana lolote na hawezi kuongela hayo mabo kwani ni juu ya uwezo wake!
 
Katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa Taifa;

1. Inshu ya Jairo na CAG
2.Kupanda kwa gharama za Umeme
3 Posho mpya za Wabunge
4.Mgomo wa Madaktari na maslhi ya Watumishi wote wa umma na Binafsi
5.Mafanikio ya safari yake ya DAVOS
6. Mchakato wa Katiba Mpya
7. Kubadili baraza la mawaziri na Makatibu wakuu
8.Kukua kwa uchumi wa Taifa na kupanda kwa thamani ya Shilingi

Unaleta hisia zako hapa..... nyambafu weee!
 
Katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa Taifa;

1. Inshu ya Jairo na CAG
2.Kupanda kwa gharama za Umeme
3 Posho mpya za Wabunge
4.Mgomo wa Madaktari na maslhi ya Watumishi wote wa umma na Binafsi
5.Mafanikio ya safari yake ya DAVOS
6. Mchakato wa Katiba Mpya
7. Kubadili baraza la mawaziri na Makatibu wakuu
8.Kukua kwa uchumi wa Taifa na kupanda kwa thamani ya Shilingi

ataongea kupitia wazee wa chadema ... ? au wazee wa CMM tena?
 
katika hotuba yake ataongelea mambo yafuatayo muhimu kwa taifa;

1. Inshu ya jairo na cag
2.kupanda kwa gharama za umeme
3 posho mpya za wabunge
4.mgomo wa madaktari na maslhi ya watumishi wote wa umma na binafsi
5.mafanikio ya safari yake ya davos
6. Mchakato wa katiba mpya
7. Kubadili baraza la mawaziri na makatibu wakuu
8.kukua kwa uchumi wa taifa na kupanda kwa thamani ya shilingi

of all things nitafurahi sana kama safari hii atampiga chini blandina nyoni ukatibu mkuu wa afya. Yani asihamishiwe wizara au ofisi yoyote ya serekali yani apigwe chini mazima. Huyu mama ndiye aliyesababisha mgomo wa madaktari hadi wananchi wa jk wanakufa kwa kukosa huduma.

Yani huyu mama akipigwa chini aisee moyo wangu utafurahi na hasira juu ya haya madudu itapungua
 
Kwakua hatakuwa na mambo ya msingi na umuhimu wakuongelea kuhusu mustakabali na maendeleo ya nchi yetu atachagua kuongea na wazee wa dar es salaam. Wale wazee wenye vikofia vyao vibagashea wanchekacheka hovyo kama wameona sufuria za pilau na ngua zao za ccm.

Yaani hawa wazee nao siwapendi yani ni mijinga. Mi nashangaa wazee wa dar es salaam kuwa wajinga tena zaidi ya babu na mabibi zetu wa huko mikoani (shamba)
 
Back
Top Bottom