Vazi hili mie kichwa zunguka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vazi hili mie kichwa zunguka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LISAH, Feb 1, 2012.

 1. L

  LISAH Senior Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania wanahitaji sana vazi la taifa kwa sasa?
  Faida yake nini hasa?

  Maana campaign zake ni kiboko na sasa kamati kuzunguka mikoani kutafuta mawazo ya hilo vazi liweje?

  Kwa pesa ipi?
   
 2. A

  Asha Abdallah Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wajinga tu kuna mambo ya maana ya kufanya mnayaacha mnakalia kupoteza pesa kwa kuzunguka na kutafuta maoni ya vazi ambalo halitavalika kwanini hizo pesa msiwape madktari wakarudi kazini.
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Eti vazi liwe na alama ya bendera ya taifa, ivi Ghana au wanaijeria mavazi yao yana rangi ya bendera zao?

  Mbaya zaidi wameisha weka masharti, sasa wanatafuta maoni ya nini wakati tayari vazi linafahamika?
   
 4. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hapa mi naona wanahangaika bure tu just wachukue bendera ya taifa na kushona masuruali,mashati,magauni N.K ndo vazi la taifa hilo
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wasiseme msuli uwe ndi vazi la taifa? halafu jk alivae atakapokutana tena na obama kazi kwisha
   
 6. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  U upuzi wa kutaka kutwondoa kwenye kufikiri vitu vya mana, eti vazi la taifa, hv kweli nchimbi huna cha kuifanyia nchi zaidi ya huo upuzi. Wacha hzo staki amin dk unatilia manani na kwendekeza upuzi wa clouds kiasi hicho..
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tz shamba la bibi kila mtu anabuni mbinu avune kwa upande wake
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kweli Nchimbi anawaangusha sana vijana, badala ya kuwanoa vijana kuchangia juu ya katiba anaanza kupotezea na ajenda yake ya vazi.
  Hilo vazi litaongeza nini katika maisha ya mtz wa kawaida?
   
 9. K

  KIMALIKE Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kweli tz ni noooma vazi la taifa ili iweje kama tu mavazi ya tamaduni zetu yametushinda ilo lataifa ni porojo tu,
  vp vazi lataifa liwe tshit na jinsi.
   
 10. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Je vazi la taifa ni kipaumbele chetu kwa sasa?
   
 11. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
   
 12. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama wabunge na viongozi wetu wanaaamini ukivaa suti ndio nguo ya heshima kweli hilo vazi lao wanalotaka si litakua la kimagharibi zaidi maaaana ni wachache sana utawaona wamevaa walau mavazi ya kiafrika.
  hiii mie naona ni kupoteza tu hela zetu za kodi maana hii ni mara ya pili sasa wanatafuta vazi la taifa kama ubongo wangu haujakosea kuload data
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  daaah hahaha na hii campen ya uhuru ya ndoa za jinsia moja duuu, mchumba atampata faster na nikikumbuka maneno ya shehe yahaya. :juggle:
   
 14. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sioni umuhimu wa vazi. Hebu wazunguke kujadili foleni za Dar watazimalizaje pamoja na kupanda kwa kila kitu kuliko kupoteza muda na pesa ya mlala hoi.
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  watu wanakamata mijihela kwa dili hilo
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ni wajanja wachache tu wamepungukiwa pesa za kuwatumia watoto zao huko nje ya nchi hivo wamebuni ka mradi,kazi iiipo na baaado,TUTAIMBA HALLELLUJAAH
   
 17. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kila nikisikia habari za hili vazi la taifa, najuiliza nani atalivaa? na wakati gani? Au kuna mpango wa wabunge kuvaa uniform wakiwa bungeni? au viongozi kwenye shughuli za kitaifa nje ya nchi? Sasa zile suti zao itakuwaje? na sasa ni wakati muafaka? hivi watoto wangapi hawana uniform wanatembea masaburi nje? Kwanini tusiwekeze hizo pesa za vazi la taifa kuifunika aibu hii!
   
Loading...