Ni serikali kuhakikisha akina mama hawadanganywi na waume wao kuhusu mishahara ni baada ya kugundulika kuwa wanaume hao hutumia na wanawake wengine na itaanza mwezi wa tatu
Source BBC
Kwa vile PM Mizengo Pinda na Madaktari wamekubaliana kumalizika kwa mgomo na madaktari kurudi kazini, kinachofuata naomba sasa Serikali ifanye tathmini ya vifo na madhara mengine yaliyokana na...
Tangu mjadala huu umeanza naona watu wote wameng'ang'ania habari ya DED na DC lakini napata tabu kidogo, wakati amendments zilizoletwa zinataka kuondolewa kwa DC na kuwekwa DED, wabunge wote wa...
Watu wako ndani ya ukumbi mbona hatuoni tweets zao?
mimi nataka nifuatilie hili sakata live tokwa kwa twitters mbali mbali
Nauliza hata JF na akina Pasco, Halisi na wengineo tunaomba twitter...
Mtu mmoja aliyekufa miaka 3 iliyopita huko Africa kusini ajitokeza na kudai amerudi rasmi. Ndugu na jamaa wanadai ni huyo ndugu yao aliyefariki lakini police wamechukua finga print na kudai niya...
Kila nikifungua gazeti au kuangalia tv, mara rais kafungua fnb benki, mara makamu wa rais kakata utepe kufungua tawi la nmb(kama ilivyooneshwa leo kwenye gazeti la mwananchi), mara utamuona maalim...
Ndugu zangu hivi kwa nini zile Noti za zamani mpaka sasa haziishi kwenye mfumo?
Nasikia eti ndizo zinatumika kufanya uporaji wa fedha mpya? eti pale panapotakiwa kulipa malipo makubwa kwenye...
Ndugu wanaJF, nimekuwa nikifikiria kwa nini baadhi ya vijana wanaamua kushusha suruali zao nusu makalio na kuonesha nguo zao za ndani na wanaona sifa kufanya hivyo. Wengine wanakuwa wanajifanya...
Kuna baadhi ya Binadamu tunashindwa hata kuongoza familiya zetu ambazo utakuta ina watu kama watano. Je, mtu kama familiya ya watu watano itakushida unaweza kutoka na kutaka kuchaguliwa kuwa...
Inakera sana mtu anapofanya kazi kwa bidii na uaminifu huku akitegemea malipo ya SINTOFAHAMU nalipwa lini? Hii ni habari ambayo nina uhakika nayo kwa 100%. Wafanyakazi wa kampuni ya FREEMEDIA...
Wadau nimepata taarifa sasa hv kuwa hosp ya St. Joseph ya kanisa katoliki iliyopo moshi mtaa wa soweto imeungua. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze plse.
Bunge likiwa hovyo, Rai akiwa hovyo, Waziri Mkuu akiwa hovyo, Upinzani ukiwa wa hovyo matokeo yake ni wananchi wanajichukulia hatua mikononi na kufanya maamuzi magumu. Huu ni Mwanzo tu, Hongera...
kuna ujumbe unasambazwa wa sms ukisomeka "we have an important message for you to know it call this number 0037128405230"tunaomba watu wa mawasiliano mtoe tamko kwa hili
Kuna kichwa kimoja cha habari kwenye gazeti la Uhuru kuwa "maandamano feki yashindwa". Hivi kweli ujumbe uliofikishwa na wanaharakati wale ulikuwa feki? Hivi kweli kupaza sauti juu ya wahanga wa...
Helen Kijo - Bisimba na Anealia Nkya pamoja na wafuasi wao wamekamatwa na polisi pale hospitali ya Muhimbili wakati WM akiongea na madaktari. Wamepelekwa kituo cha Oysterbay Police
Wakuu mdogo wangu ameingia mkenge! aliagiza gari na kutuma pesa bila kutumia Pay Trade lakini hadi leo hakuna gari wala mawasiliano tena, ni kimya kabisa. Nani mwenye msaada, je anaweza pata pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.