Kiwanda cha Mang'ula Kilombelo ni Mbaya baada ya Kukabidhiwa Mama Rwakatare mwaka 2007 mda mfupi baada ya kupata ubunge .Mpaka sasa Mama Rwakatare amebadilisha matumizi yake na kusabasha wananch...
Nasikiliza clouds fm jamani
inatia moyo baada ya hotuba ya mh pinda wamesema sasa
wanarudi rasmi hospitalini wakiwapa mwezi mmoja kabla ya kurudi
tena na kutaka kujua hatima yao
basi kama...
Nilipita sehemu na kupewa flyer ya barber shop moja yenye kutoa huduma zifuatazo:
Classic Barber ShopTunatoa huduma zifuatazo:
kunyoa mitindo ya aina zote na Easy wave
scrubbing, mask, kuosha...
Hata siku moja akuna mtu atakuelewa ati kisa k uwarudisha ma dk unamfukuza blandina nyoni katibu mkuu pekee hii aieleweki hata kidogo...mh pinda ndani ya mwezi mmoja mliopewa na mdk akikisheni...
Furaha Maugo
SHIRIKA la Utafiti wa Afya na Tiba Afrika(AMREF), limetangaza kutumia zaidi ya Dola 16 milioni za Marekani sawa na takribani Sh25 bilioni, kwa ajili ya utekelezaji wa mpango mkakati...
Wanajavi wakati wa mgomo wa daktari tulikua tunawasikia watu wa kada tofauti wakitoa maoni yao kuhusiana na mgomo wa daktari,wengine walikua wakiwapinga madaktari, wengine kusupport...
Maisha ni safari ndefu ambayo mwisho wake ni kifo,hakuna aliyezaliwa pasipo kuja kuionja ladha ya umauti.Hata jabali kiasi gani ipo siku ujabali wako utaishia kwenye tani saba za udongo.Wako wapi...
SHAURI la kudharau amri ya Baraza la Ardhi na Nyumba lililokuwa limefunguliwa na bibi kizee mmoja jijini hapa, Moshi Juma Mzungu(67) dhidi ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la...
WAKAZI wa kijiji cha Machochwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamegoma kushiriki shughuli zozote za maendeleo , hadi hapo watakaposomewa mapato na matumizi ya...
Kwa asilimia kubwa wizi wa magari maeneo ya UDSM na maeneo jirani ya hapo unafanywa na polisi wa kituo hiki kama sio wenyewe binafsi ni kwa kushirikiana na watu wanaowajua wao.
Dada mmoja kwa...
jamani wana JF najua humu kuna watu waelewa sana, hivi huyu beatrice shellukindo anamlengo gani? i mean ndani ya CCM anamatakwa gani? adui zake ni nani? je baba yke aliwah kuwa nani? na yeye...
Baadhi ya viongozi wa chama tawala wanasema wanapinga ufisadi na wanataka Watanzani wawe na maisha bora kwa kutumia rasilimali za nchi.
Wanataka tuwaamini lakini tuzidi kujiuliza kila siku...
Mswada wa marekebisho ya katiba ulikuwa unajadiliwa bungeni jioni hii, mh kilango kaja na suara la wakuu wa wilaya kuendelea kuwa wahusika wakuu kwenye kamati ya uundwaji wa katiba...
Labda nitoe rai kwa madaktari, wengi tumeuunga mkono mgomo wao sio kwa sababu walikuwa wanataka nyongeza ya posho au kushinikiza watu fulani wajiuzulu. Dai la msingi la madaktari ambalo ndilo...
Umekunywa soda zangu, utanibeba leo
Umechukua hela zangu, Utanibeba leo
Siondoki peka yangu leo...............
Hicho ndio kibwagizo cha Mzee yusuph baada ya kile cha babujiii ****!
WIZARA YA...
Hakuna ubishi kuwa mgomo/mkwara mbuzi wa madaktari uliomalizika leo umeacha maafa makubwa vikiwemo vifo vya wapendwa wetu.Kwa walioguswa na hili watakubaliana nami kuwa baadhi ya vifo vingeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.