Job description ya jk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Job description ya jk

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dfour, Feb 9, 2012.

 1. Dfour

  Dfour Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hivi Kuna mtu anaijua Job description ya JK sababu sielewi anafanya nini Magogoni, Pia anakuwa jinsi alivyo sababu jinsi ya kumwajibisha haipo wazi hapa ndipo tunapoitaji katiba mpya hata leo leo tuweze mwajibisha huyu jamaa
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hii thred ni ya kijinga ndo mana watu wanaipita
   
Loading...