Kamanda wa polisi mh mpinga anapoudanganya umma;utausaidiaje na hili?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda wa polisi mh mpinga anapoudanganya umma;utausaidiaje na hili??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 9, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  KAMANDA MKUU WA MKOA WA DAR AMEENDELEA KUWADANGANYA WANANCHI KWA KUSEMA ILE KASHFA ILIOTOLEWA NA ISSAMICHUZI.BLOGSPOT.COM SI KWELI POLISI WALIOMBA RUSHWA BALI WALIKUWA WAKILIPWA FAINI NA AMETAJA STAKABADHI KADHAA NA NAMBA ZAKE..NDUGU ZANGUNI ABSH
  YA LEO NIMEDAMKIA PALE UBUNGO NIKAONANA NA MHUSIKA MKUU WA MAGARI YA UPENDO KINYUME NA MATARAJIO YAKE AKASEMA GARI AKUNA GARI YAKE ILIOPIGWA FAINI TAREHE KAMA HIYO AIKUISHIA HAPO AKANIONYESHA BAADHI YA RISITI AMBAZO WALILIPIA HUKO NYUMA LAKINI AKUNA TAR HIYO NA MBAYA ZAIDI AKAOMBA KAMA KUNA UTHIBITISHO WALETEWE HIZO RISITI WALIZOLIPIA LAKINI AKASEMA KAMA KWELI WANAPIGWA FAINI HUWA WAKILIPA RISITI ZINAKUJA OFISINI
  UKIZIANGALIA HIZO RISITI UNAWEZA LIA ZINGINE AZINA HATA MUHURI ZINGINE NIKANA KWAMBA KUBALI YAISHE......NIMEKUJA KUWEKA WAZI HII SI KWAMBA NACHUKIA MAPOLISI SITAKI KUONA MTU ANAFICHA UKWELII JUU YAO....

  SASA BASI NAOMBA NIWEKE WAZI SIO TU HILI SAKATA PALE TAZARA UKIENDA MH MPINGA KUNA MA TRAFFIC WANA VITABU KAMA MAVI YA CHOONI NA VIMEFINYWA FINYWA UNAJUA KABISA HII SIO DOCS HALALI..NILIWAHI KUKAMATWA NA MMOJA WA TRAFFIC PALE TAZARA ALIKUWA ANARUHUSU UPANDE WETU ALIPOONAGARI ZINAKUJA KWA KASI AKASOGEA MBELE AKATUSIMAMISHA ....NILISHANGAA NKAMWAMBIA WEWE UMERUHUSU ALAFU UNASEMA NIMEPITA NYEKUNDU KIVIPI ..KITENDO CHA KUONGEA TUUUUU AKAWA ANANILETEA RISITI YA FAINI ANALAZIMISHA NILIPE NKAMWAMBIA SINA NIKAWA MDOGO TUKAISHIA KUTOA 5000/= NIKAONDOKA...NIMEKUTANA NA HILI JAMBIO TENA PALE CHANGOMBE WIKI MBILI ZILIZOPITA KIASI CHA KWAMBA NILIKUWA NA CHENCH NIKAWAPA ALFU TANO KWELI NILIPTA RED NIKIWA NAWAHI SEHEMU

  SASA MH MPINGA UNAWEZA KUTUAMBIA ZILE RISITI WALIZOANDIKA WAKILETA KWENU WANAWAAMBIA ZIMEENDA WAPI???


  HII NI GARI INAYOTUHUMIWA KUCHUKUA MLUNGULA INGAWA DALILI ZOTEE ZIKO WAZII BADO MH MOHAME D MPINGA ANAWATETEA TUKO PAMOJA MKUU TUNAOMBA RISITI COPY ZA HIZO ZILIZOLIPIWA SIKU HIYO MAANA WAHUSIKA WA UPENDO WANAKIRI AWAJATOZWA TAR KAMA HIYO 31/01/2012

  MUNGU AKUBARIKI KWENYE ZOEZI HILI LA KUSAFISHA VIJANA WAKO[​IMG]
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  Umeandika kwenye michuzi vijana wako waliona mt u anawapiga picha nijuavyo mie na hata mh mwema akija leo hapa hilo gari lisingeachiwa mpaka huyo mtu anachukuliwa kamera yake ama amefuta kutoka kwenye simu yake ama hiyo kamera yake iweje aweze kuileta na nyie kukiri mlimwona ...??kwa nini mlimwachia ???embu tufafanunulie alafu nenda na vijana wako wakusaidie ofisini kwa mabasi ya upendo
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  Tunaomba risiti namba 1962453 utuwekee mtandaoni kama ulivyosema walipigwa faini ya 30,000/=
  ficha .......
   
 4. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Ndugu;

  Hongera kwa kazi nzuri uliyoifanya; maana umeamua kuja na vielelezo kabisa kwa sababu Serikali hawaishi kutaka ushahidi. Sasa na picha ya gari ni ushahidi labda atafute njia nyingine ya kukataa. Na umefuatilia hadi ofisi za upendo. HONGERA SANA!!!!!!

  Hizi ni tabia za viongozi wetu kwani mtu ukiwaeleza ukweli hawataki kwa nia ya kuhifhahiana kindugu / kulindana. Tabia inayoanzia kwa kiongozi wa ngazi ya Juu Serikalini na hadi mfagiaji wa Ofisi, tabia ya kulindana wanayo.

  Sasa hapa mtu unawapatia vielelezo vyote na ukweli upo wazi lakini bado Kamanda badala ya kuchukua maelezo hayo na kuyafuatilia yeye anajibu kwa mkato "wanalipa faini"

  Je, kama angelifuatilia kama ulivyofanya wewe sidhani kama angelikuja na jibu lile. Na ndio maana watu tunakosa imani na Jeshi la Polisi na huwa tunaelewa kuwa zile Faini aua mlungula wanaopokea wale Trafiki barabarani wanapeleka Hesabu kwa Wakubwa Wao.

  jE, kwANI TUKIAMINI HIVYO TUNAKUWA TUNAKOSEA AU KUTENDA DHAMBI NA IKIWA DALILI ZINAJIONYESHA.

  Ni wakati umefika ambapo Jeshi la Polisi naviongozi wa Serikali wanatakiwa wasiwe watu wa kutoa majibu pasipo kufuatilia. Wakipokea maelezo ya askari wao tu lazima askari atajitetea. Inatakiwa wafuatilie.

  Raia anapotoa taarifa kama hii inabidi wafatilie na wahusika wachukuliwe hatua ndipo watajenga imani kwa wananchi. JE UMUHIMU WA ULINZI SHIRIKISHI UPO WAPI KAMA ASKARI NA VIONGOZI WAO WANALINDANA????

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimeogopwa kusutwa nilipoona kwa issa michuzi nikageuza gari sheklango mafuta analipa kampuni nini tatizo..ingawa bado atahisi atuwapendi tunataka kuwekwa wazi nimeuliza hapo kama kweli anaamini aikuwa rushwa aje na stkabadhi inagwa naamini anaweza kutengeneza kama walivyokuwa na vitabu vyeki vya faini
  binafsi nimeshaandikiwa faini zaid ya mara tatu alfu sitini,nyingine 40,kwa 20 nikaishia kutoa 5000 bila risiti
  sasa hili kidogo nimekaa kujiuliza na nilishwahi kuleta hapa nov 18 saa nne asbh nikauliza hizi risiti zinakwendaga wapi...iweeje umeandikiwa kabisa unaona hapa kifo bora uuamini mungu yuko kuliko kutoamini ayupo ukamkuta ukajuta siku yamwisho ndio maana hivi vi 5000 tunavijazaga kama emergency kwenye sehemu za katikati za gari kulinda familia za mapolisi

  sasa kama uamini pita pale tazara jifanye unanunua lamba lamba ama azam koka kola utashangaa kila mmoja ana k itabu akakiunja kama chapati za tandale alafu kichafu ...ujiulize hivi anapokuwandikia alafu alafu anakuwachia zile risiti kama kweli wanapeleka serikalini wanasema panya amekula ama|?????????????????????

  Ndio maana nimeshauri usikubali kulipa pesa vituoni vya mabasi nenda polisi hata kama wamefunga paki njoo kesho lipia kuliko kuwanufaisha kuna mpumbavu mmoja alinikamataga mwenge akaniambia twende osterbay nikamwambia sawa akataaka kupanda gari langu wenye kujuana nao anaitwa cha pombe ana machodungu kama amekabwa uume wake ....kumbe ni pombe figo zinakaribia kupasuka..nikamwambia kapande gari la babako sio langu akanitishia kuongeza mashtka nikamwambia siongoki nasubiri ushuke niende ..utakalopanda nitakufwata alikaa na mimi nusu saa akaishiaaa kijana unadharau eeeh hao babazenu wasiwape vichwa ngumu akaishia nenda bwana nkamfyonza nikaanza ,..usipokuwa na adabu wanakuvua na nguo hawa atii....

  Ile karatasi ya faini msiwe wajinga someni imeandikwa unaruhusiwa kulipa ndani ya siku saba hii ya kukwambia ama kulazimisha ulipe siku hiyo hiyo hao no matapeli
  ona ogopa ondoka -triple "o" ukizijua awakusumbui...wako wengine pale darajani daraja la kawe wamejazana kama nyau weupe wanasimamisha gari ovyo..nikasimamishwa siku moja na mwanaume nikiwa namsubiiri akatoka akenda kusimamisha lingine nikisubiri nikamwona kamwacha jamaa anapaki kaenda kusimamisha lingine aliishia kuangalia namba za gari...keshokutwa yake mwanamke akanisimamisha same place nikamwambia mzima akasema poa akniuliza a,b,c nikamwonyesha akasema safari njema akiwa anataka kuondoka nikamwita nikamwambia majuzi ulikuwa na punguani mmoja mwanaume eehh akasema yukoje nkamwlekeza akasema ndio..nikamwambia uliona gari ilioondoka kwa kuwaachia vumbi ndio hii mwambie awe na heshima siku nyingine bana akacheka kweliiiiiii akasema niachie basi hata ya bia nikamchomolea fungu lake 5,000 nikaanza mpaka leo kama amelogwa hapo darajani kawe anashinda siku nzima na hata sasa niongeavyo yuko hapo wanaomba omba mpaka 1000/= huyu mpinga anatakiwa asikae chumbani kwenye ac azunguke aone vijana wake wanavyoomba omba akae nao ajue tatizo ni nini kutiana hivi aibu badala ya kuwatetea na kuendelea kutia aibu
   
Loading...