Ripoti ya polisi kuhusu maandamano ya wanaharakati yaliyofanyika jana tarehe 8/2/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti ya polisi kuhusu maandamano ya wanaharakati yaliyofanyika jana tarehe 8/2/2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jozzb, Feb 9, 2012.

 1. j

  jozzb Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  “hatukuwa na taarifa na mkusanyiko huo, ni watu walitoka sehemu mbalimbali mmoja mmoja wakazunguka maeneo ya Palm Beach na kuingia barabarani na kuzuia magari yaliyosababisha foleni ndani ya dakika 45 kwa hiyo sio kwamba ni maandamano”

  CHANZO CHA RIPOTI << HAPA>>
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Hata tahrir square, libya, tunisia, syria na Maldives ilianza hivyohivyo....................
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Siyo tanzania bwana, zingelindima hakuna ambaye angesalia pale/ au wangelilala 20 wamekufa nani angelisonga mbele?
   
 4. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,449
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Hawakupata taarifa za kiinteligensia?? Au huwa ni za maandamano ya cdm?
   
 5. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  nafikiri habari za kiintelijensia hazikuwa zimewafikia ama waliogopa kuwafanyia vurugu kwa sababu baadhi ya waliokuwapo ni watu wa LHRC haya yetu masikio
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hata mbuyu ulianza kama mchicha,kazi kwao watawala.
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hivi leo hayapo?
   
 8. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  yaani hii nchi ni ya kwetu jamani hamna atakayeikomboa bali sisi wenyewe.....
   
Loading...