baada ya mtu kugongwa na gari na kufa,wanakijiji walilala barabarani kuzuia magari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

baada ya mtu kugongwa na gari na kufa,wanakijiji walilala barabarani kuzuia magari.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Slave, Feb 9, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  .jana tarehe 8-02-12 gari ndogo iligonga mtu na kufa papo hapo na kusababisha wanakijiji kuvamia barabara na kuiziba kwa mawe.polisi ilifika mapema eneo la tukio na kuzungumza na wanakijiji,madai ya wanakijiji ni juu ya polisi pamoja na tanroad ambao wamekuwa kimya kwa muda mrefu japo wanakiji walikwisha toa taarifa juu ya ongezeko la vifo vinavyo tokana na ajali za magari.ombi lao ilikuwa ni serikali iweke bumps ili kupunguza ajali. Inasemekana mpaka sasa wanakijiji wanapanga kwenda kuvamia barabara kwakuwa yale waliyo kubariana jana kati yao na polisi polisi haikuyafanyia kazi.kuna uwezekano wa kwenda kuharibiwa barabara.
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Toa taarifa kamili ni kijiji gani, na wilaya gani?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,913
  Trophy Points: 280
  ni wapi? au umetunga ili kuongeza post
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mkoa wa shinyanga wilaya ya kahama kijiji cha nyakato nyasubi.
   
 5. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  no hapana mkuu wangu hapa ni kahama na mpaka sasa najiandaa niende hapo wanapokutania wanakijiji kwa ajili ya kuvamizi
   
Loading...