B BoQ Member May 31, 2011 34 0 Feb 9, 2012 #1 Bahati mbaya ni kwamba wakati huu nchi ipo katika mgogoro na madaktari sisi wananchi hatuwezi kuahirisha kuumwa.
Bahati mbaya ni kwamba wakati huu nchi ipo katika mgogoro na madaktari sisi wananchi hatuwezi kuahirisha kuumwa.
Ambitious JF-Expert Member Dec 26, 2011 2,144 875 Feb 9, 2012 #2 Hiko ki-bodaboda kikimshusha huyo binti itabidi kikaangalie afya yake kwenye nearest garage.Hatoshei kabisa huyo.
Hiko ki-bodaboda kikimshusha huyo binti itabidi kikaangalie afya yake kwenye nearest garage.Hatoshei kabisa huyo.