Gazeti la Mwanahalisi limepoteza mvuto wake linapigwa jua kwenye vibanda

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,887
32,284
Wanabodi.
Leo ni Jumatano ya sita kila nikipita kwenye meza za kuuzia magazeti mitaa ya Kariakoo..

Inasikitisha kuona Gazeti la Mwanahalisi kupoteza mvuto wake iliokuwa nao apo mwanzo sijui tatizo ni nini watu wamegoma kulinunua.

Ikifika jioni saa 12 magazeti wanayauza kwa kilo sijui mikoani kuna hali gani wana Chadema msaidieni Said Kubenea..
 
Leo ndo yamenunuliwa kuliko siku zote. mwongo mkubwa wewe
 
Nenda pale Msimbazi na Uhuru angalia kwenye vibanda au nenda Azikiwe posta mpya utauziwa kilo unazotaka.
Mimi niliwahi kuwapigia simu kwa habari zao zisizo na mshiko miezi kadhaa iliyopita na wakanitolea nje kama kuku.
Nikaacha kununua gazeti hili maana habari zake zimechacha!
 
Ni kweli Mwanahalisi limepoteza mvuto,kama Kubenea na wenzake hawatayafanyia kazi haya
Mwanahalisi inakufa taratibu hawtaamini.Please Kubenea Wake Up for Mwanahalisi.
 
Wanabodi.
Leo ni Jumatano ya sita kila nikipita kwenye meza za kuuzia magazeti mitaa ya Kariakoo..

Inasikitisha kuona Gazeti la Mwanahalisi kupoteza mvuto wake iliokuwa nao apo mwanzo sijui tatizo ni nini watu wamegoma kulinunua.

Ikifika jioni saa 12 magazeti wanayauza kwa kilo sijui mikoani kuna hali gani wana Chadema msaidieni Said Kubenea..

Ukiona mwanaume anamuiga mwanaume mwenzake (Pasco ) uandishi basi hapo panatia mashaka makuwa sana.
 
si kweli madai yako.
kumbuka Mwanahalisi ni gazeti la kila wiki, na linatakiwa liuzwe kwa wiki nzima na si juma tano tu.
Hapo naomba kutofautiana nawe.
walioanza kupoteza mvuto ni raia mwema.
ambao wanachapisha habari za kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu mara kwa mara.
Nimeazimia kuendelea kununua raia mwema na mwanahalisi hata kama hayana habari za kuvuti.
ila angalizo ni kwamba, wakiuza kwa mafisadi sintothubuti kuwaamini tenaaaaaaa!
:shock:
 
Mwanahalisi mbona kama ni umaarufu kuisha uliisha zamani walipoanza kujiandikia bila kufikiri wala kufanya utafiti. Kimsingi, watu wanaitetea Mwanahalisi kutokana na mazoea. Kitu kilichokuwa kimeipandisha chati mwanahalisi ni ile hali ya Kubenea kumwagiwa tindikali. Hili lilichukuliwa kuwa alikuwa akiadhibiwa kwa kuiandama serikali. Lakini baada ya kugundulika kuwa wako kitanda kimoja na wengine kusema alimwagiwa tindikali kwa sababu za ugoni, taratibu sympathy ikayeyuka.
 
Payuka tu dogo, maaana ofisi hii kumbe wote wagoni! Mzee Ndimara Tegambwage nae alipigwa mapanga kwa sababu ya ugoni!!?? very fun.
 
Gazeti la Mwanahilisi kweli limepoteza nguvu yake iliokuwa nayo hapo mwanzo kitu ambacho kimechangia kupoteza umakini, ni Saidi Kubenea, kuanza kuandika udaku na umbeya na kuwabebea baadhi ya wanasiasa uchwara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom