Hii Natumaini JK Atakua Kaipata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Natumaini JK Atakua Kaipata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Feb 9, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Helen Kijo-Bisimba (Katikati) akitoa tamko la Asasi za Kiraia kuhusu mgomo wa madaktari unaoendelea na Serikali kutotoa taarifa za kina kuhusu mgomo huo. Asasi hizo zilifunga Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Salenda jijini Dar es Salaam.
  Wanaharakati.jpg
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Kilichonivutia ni huo ujumbe hapo juu kushoto!
  [​IMG]
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 4. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Hata akiona, kwani anajali? Mshipa wa soni ulikwishamkatikia zamani!
   
 5. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Walilikoroga sasa inabidi wajue na kulinywa, JK anamfanya PINDA kuwa chambo, yeye amekaa kimya PINDA anapindika tu,

  Siku ile alijichanganya sasa sijui leo atawaambia nini Madakitari. Sijui atasema mnisamehe kwa kauli ya siku ile nilikuwa nimeonja Wanzuki kidogo au atawaambia kesho wasiporudi watajifukuzisha kazi na serikali itawaleta mgambo wa Jiji kufanya kazi Mahospitalini!!!

  YETU MACHO TUNASUBIRI!!!!!

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 6. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli.

  Maji kayavulia nguo na anashindwa kuyaogea. Mungu ibariki TZ.
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  maandamano ya wanajf ni kwenye keyboard tu................TUTAPAMBANA DAIMA.
   
Loading...