Ninge kua Dr. Jakaya!

MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,057
1,371
ILIKUTOA KUTOA DISCPLINE NA KURUDISHA IMANI YA WANANCHI JUU YA RAISI WAO, KWANZA NINGE VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI, KESHA NAVUNJA BUNGE(Ingawa yote yangeweza kufanyika kwa mara moja. Nafanya kwa pozi wajue kua nime kasirika.) KESHA, NASHAURIANA NA MKUU WA MAJESHI, NAWEKA NCHI CHINI YA MARSHAL LAW KWA MIEZI MITATU. NASAFISHA NICHI NA KUTOA DISCPLINE KWA VIDOMO VIDOMO VYOTE.
 
utamsikia siku akisema .anashangaa !! kwanini madaktari wamegoma ,mzee wa kushangaa huyo
 
Ningekuwa mkuu wa majenshi: kwanza ningewaweka mawaziri wote under house arrest, mkuu wa kaya nampataia chumba chake kwenye sero ya MP's pale mirambo barracks, nakamata miradi yote yenye mkono wa wakubwa fedha zinaingia hazina na kupandisha mshahara wa watumishi, vunja jeshi la polisi na kazi yao inakaimiwa na MP's tu, navunja PCCB. Angalau kwa miezi sita staha inarudi,
 
ningekuwa mkuu wa majenshi: Kwanza ningewaweka mawaziri wote under house arrest, mkuu wa kaya nampataia chumba chake kwenye sero ya mp's pale mirambo barracks, nakamata miradi yote yenye mkono wa wakubwa fedha zinaingia hazina na kupandisha mshahara wa watumishi, vunja jeshi la polisi na kazi yao inakaimiwa na mp's tu, navunja pccb. Angalau kwa miezi sita staha inarudi,

nadhani, kiukweli tunahitaji tiba kama hiyo, maana hali sio nzuri. Tuna hitaji kiongozi mwenye maamuzi sahihi kwa manufaa ya nchi, sio kwa manufaa ya watu wachache.

Tumuige kagame, na michael sata. Kwanini wao wanaweza, sisi tunashindiwa wapi?

Sprit ya viongozi hao, ndio hata timu zao za michezo.

Au sisi watanzania tuna matatizo gani?
 
Back
Top Bottom