Ni kweli manyaunyau is no more?

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Nimesikia leo bt siko sure sana, mwenye info anijuze, manyaunyau yule mganga maarufu akinywa damu ya paka palipo na kisiki
 
He umeskia nini!?
Au alikumbana
na kitu inauma khaaa
hebu tudadafulie
kidogo
alikiuwa mgonjwa?
Kapata ajali?
Ama alikumbana na majini makali?
 
mkulo wakaya alisema anaetaka kula nae akubali kuliwa'
kwa hivo nae wamekunnywa damu yake.
 
Jamani mwenye info kamili atujuze wadau,the man claimed a fame for his marvelous deeds,tutaarifiane if at all it is true!
 
duh washamuotea?nayy akiona sifa kutafuna mipaka ovyo kumbe walikua wanamlia timing
halafu naskia akitoka huko akizikusanya alikua anaenda kuzimwaga kwenye mabendi pedeshee style
 
halafu wewe sizinga....

Vipi tena ant?? its true(tetesi) nasikia kafa kimaajabu sana, wakati amesimama...inashangaza, sema if nobody confirms this itabaki kuwa tetesi maka watu wake wa karibu walete ukweli
 
Afe tu,
labda imani za kishirikina zitapungua kwa kuondoka kwake..!
 
Back
Top Bottom