Vipi ingekuwa ni wajeda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi ingekuwa ni wajeda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luck, Feb 8, 2012.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Nilikuwa nafikiri tu.
  Je endapo wanajeshi wetu wangegoma. Je kungekuwa na danadana wanazofanyiwa madaktari?
   
 2. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Maandamano yangekuwepo, sinahawa jamaa wa maji ya kuwasha (ffu) na vijana wa kova wangekuwa wamegoma.
   
 3. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  huwa hawagomi..., wanapindua serikali
   
 4. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ki-bongo-bongo nadhani hii issue inaweza kuwa ngumu kidogo maana kukiwa na tetesi kwamba wajeda wanataka kutingisha kidogo basi ujue hata ofisi za mawaziri siku hiyo zitahamishiwa makambini kwenda kupiga magoti. WAJEDAAA...! mko wapi? Kwani sukari wenzetu bado bei poa eee...? Bia je..!?
   
 5. luck

  luck JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Jee? jee?

  Serikali ingeendelea kurembaremba na kutaka msururu wa vikao kweli? Au wengepewa chao kabla hawajatangaza lolote.........
   
Loading...