Mikoa ipi ni 'hot' Tanzania na ipi haina 'effect'?

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
Sio siri mbali na kwamba ni kitovu cha vyombo vya habari, Dar ni mkoa ambao hauna 'effect' linapokuja suala la mabadiliko ktk Tanzania.
Wengi mmekalia porojo tu. Jana tar. 8 Februari, LHRC hawajaungwa mkono kabisa!
Uwezo wetu upo kuchafua tu hili jamvi la jf.
Katika hili Dar haina tofauti na Lindi, Mtwara in the rank. Ndo maana hata wabunge wengi wa CCM.

Viva viva Mwanza, viva viva Mbeya, Viva viva Arusha. Then Iringa, Kigoma endeleza hadi the last three hapo juu.

Hapa kwetu Dar ni kahawa tu hatuna lolote.
 
Mara unatisha, bahati mbaya nilisahau kuuweka wa nne hapo juu.
 
Back
Top Bottom