je pinda ana uwezo wa kuwawajibisha wakuu wa wizara ya afya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je pinda ana uwezo wa kuwawajibisha wakuu wa wizara ya afya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Feb 9, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kesho ni siku nyeti sana katika kuamua suala la mgomo wa madaktari.nina uhakika kwamba majibu yote ya madai ya madaktari yako tayari iwe kisiasa,uongo au ukweli.lakini kuna swali moja tu la msingi je nani atawajibika kutokana na mateso na vifo vilivyotokea(idadi ya maiti kwa siku pale temeke imepanda kutoka 15 mpaka 30)?nina uhakika madaktari watakubali kutoa muda wa utekelezaji wa madai yao lakini sidhani kama mambo yote yatahitaji muda........kesho ni siku ya hukumu na sio kusikiliza kesi,kesho ni siku ya madaktari na waziri mkuu kushikana mikono na sio kurushiana ngumi.kesho ni kesho.


  wakuu kesho yangu inaanza saa moja asubuhi tarehe 9/2/2012.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kama kuna jipya atakalotangaza pinda litakuwa limetoka kwa mkulu mwenyewe.ngoja tujifariji kusikia kauli ya jk kupitia pinda
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wakuu nakumbushia hii thread yangu na kulinganisha na yanayotokea.
   
Loading...