Urithi wa Nyerere ndio umetufikisha hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urithi wa Nyerere ndio umetufikisha hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngongoseke, Feb 8, 2012.

 1. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Najua wenye kubisha watakuja kubisha,lakini haya tuliyonayo sasa ni matokeo ya urithi wa Mwalimu nyerere kwetu,

  Mwl alikuwa ni kiongozi msemaji sana kuliko vitendo,kifupi alikuwa simtendaji ila mwanasiasa japo aliyokuwa akisema mengi yanatija,sasa hawa viongozi wetu wa leo wamerithi tabia ya nyerere yakusema tu bila vitendo,yaani nchi imekuwa full wanasiasa bila watendaji,sijui tunaelekea wapi wa danganyika
   
 2. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nonsense.
   
 3. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,533
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  ni kweli kabisa .na ata aliwazoesha pia watanzania kukubali maneno matamu bila ya kuona vikitendewa kazi .,
   
 4. R

  RUTARE Senior Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyerere ni mmoja wa hao viongozi wasomi ambao hawakuongoza vizuri.Hotuba nzuri, maneno ya kushawishi akili na kupendwa na waandishi wa habari siyo cheti cha kiongozi mzuri.Na Nyerere anasifiwa kwa hiyo lakini ukija kwenye matendo ya zile hotuba nzuri hakuna hata kijiji kimoja cha maonyesho kuonyesha kuna msomi mmoja aliyewahi kufikiri kuhusu vijiji vya ujamaa na hiki ni kimoja ya vijiji alivyovianzisha, na watu katika kijiji hiki wanafurahia mawazo ya msomi huyo. Lakini Tanzania nzima hakuna hata kijiji kimoja cha ujamaa kilichobaki kama maonyesho ya mawazo ya msomi Nyerere badala yake Tanzania ni moja kati ya nchi masikini duniani. Na yote hayo ni matunda ya msomi mmoja waliyemwita Mwalimu.Sasa mambo yakiwa hivyo najiuliza kwa nini alipoteza muda kwenda Makerere kupata shahada ambayo haikumsaidia kuifanya Tanzania mahali pazuri pa kuishi
   
 5. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  NGONGOSEKE, ACHA KUWEWESEKA! UTANG'ONG'WA NA WATU BURE maana hujui hata unalosema. Nyamaza idiot!
   
 6. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wengine tunakaa kimya, manaake tukisema tu. Inakuwa balaa.
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa nini usisema kabisa ukoloni ndio umetufikisha hapa kama wakubwa wanapenda sana kutambia hivyo kila kukicha? Kuna watu wenye mawazo ya kikoloni sana kila kitu wanasingizia wengine.

  Hivi Mwl. Nyerere ndiye ametoa amri kuwa badala ya kuboresha huduma za afya nchini wizara ichote fungu na kupeleka Apollo India kwa ajili ya wakubwa? Mwl. Nyerere ndiye ametoa amri ya kufanya mazungumzo na wezi? Mwl Nyerere ndiye aliyeruhusu ndege ya kijeshi toka Qartar ije ichukuwe wanyama hai na kwenda zake? Na huyu Mwl Nyerere alitoa lini hayo maagizo? mwaka huu? mwaka jana? miaka 10 iliyopita? Na kama alitoa maagizo hamuwezi kubadilisha?

  Kwenye kampeni mlituambia maisha bora kwa kila mtanzania sasa hizi ngonjera za nini?
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Mwalimu mwenyewe aliandika kitabu kinachoitwa tujisahahihishe -aliona makosa yake na akawa muwazi...Watanzania tutakuwa watu wa ajabu sana kama baada ya zaidi ya miaka 25 yeye kuondoka madarakani tunamlalamikia.Kama tumeshindwa kwa zaidi ya miaka 25 hatutaweza hata kwa miaka 50.
   
Loading...