Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

hadi kufikia, tarehe 01 february 2012, Rais wa sasa wa Tanzania amesafiri mara 322 nje ya nchi. Ukizidisha io idadi ya tripu/safari (322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari, utapata jumla...
23 Reactions
86 Replies
8K Views
Wagonjwa waelezea masikitiko yao Wataka Watanzania wasiwahukumu Hospitali ya Taifa Muhimbili Madaktari waliorejea kazini baada ya mgomo uliotikisa takriban wiki tatu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SERIKALI imeombwa kumfukuza kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Musoma Vijijini, Karaine ole Kunei kwa madai ya kutoa zabuni ya upendeleo ya kusafirisha chakula kutoka Ghala la Taifa mkoani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
napenda nchi yangu tanzania ukiwa na hela kama new york Unaweza kulewa kustarehe kuchukua bwana kutembea kufanya chochote bila kuogopa kwenda beach kufanya mambo fulan kwenye garish
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MADIWANI katika Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoa mpya wa Njombe wamkataa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Hilda Lauwo kuwa hana uwezo wa kuongoza Halmashauri hiyo. Sura hiyo ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Antony Lusekelo (Mzee wa upako) anawauliza hivi: 1. Mchakato wa Katiba mpya mlionekana kurasa za mbele za magazeti na kofia (viongozi wa dini kubwa kubwa-kwa maneno yake) , sasa watu wnakufa mbona...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
An Indian woman has just broken the world record after she gave birth to eleven babies at once. Congratulations!!!
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Zito nampa uwaziri mkuu, january naibuu waziri mkuu,sitta nimrudisha speaker of the house tena
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutoka na nchi uetu inavyoendeshwa tunahitaji kurudisha mali zote za mafisadi kwa wananchi wa tanzania.......inaniuma wajameni mnipe nchi kabla ya 2015.............
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Raisi wa zamani wa Urrusi Mikail Gobachev ansifa zote za kuwa mtakatifu. Ukikumbuka kwa jinsi gani siasa za kikomunisti au ujamaa na kujitegemea zilivyokuwa zinasumbua watu katika nchi zao. Huyu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
FARAJ KATALAMBULA KUZIKWA MKOANI TABORA Aliyekuwa mtunzi mahiri wa vitabu vya hadithi na riwaya nchini Tanzania marehemu Mzee Faraj Katalambula (kulia) anatazamiwa kuzikwa kesho Isevya mkoani...
11 Reactions
68 Replies
16K Views
Pinda keshafanya yaliyo ndani wa uwezo wako..sasa na wewe tunakatakujua kuwa huyu waziri aliyelidanganya bunge tukufu kuwa hali ni shwari huko mahospitalini ili hali watu walikuwa wanakufa...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
EMBU FIKIRIA UNAMKUTA BABA YAKO KIFUA WAZI HIVI MBELE YA WATOTO WENZAKO WA KIKE UNAHISI NINI ??SORRY KWA NTKAOWACHOMA NAJARIBU KUWASAIDIA HAWA WATU WAWE NA HESHIMAKWENYE UMATI WA WATU
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Haya ni maneno ya kikwete mwenyewe kwenye hekaheka 2010, hakika jamaa ana uwezo mkubwa wa kuelewa mambo yanayohusu sheria na ndiyo chemichemi ya mabadiliko ya katiba mpya,anajua kujenga hoja za...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Napenda kuuliza hama tujadiliane kwa nini watanzania wanakufa sana na mapema hadi inafikia hataua unaanza kuogopa sasa itafikia kuona mtu anafikisha umri wa miaka 70's inakuwa inshu sana.kwa nini...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
WE HALIMA MDEE SISI TULIKUPELEKA BUNGEN KUCHEZEA IPON NA FACEBOOK WAKATI WAZIRI MKUU ANATOA HOTUBA?? AIBU,KAMERA INAKUGANDISHA WEWE TU UNACHATI NA KUSINZIA..........mods msije mkaondoa hili bandiko
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuiga kwingi mwisho kuchamb... hii kauli ya UN ya kuwezesha wanawake hata pale wasipoweza ili tu, tuiunge mkono hoja ya kishetani ya UN imekuwa janga kwetu hapa TZ. Angalia wanawake wooooooote...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkurugenzi mkuu bima ya afya naye amfwate nyoni, Amesababisha kushuka kwa morali ya utumishi kwa Wafanyakazi wa Mfuko wa bima ya afya kwa kuwatengenezea nidhamu za woga kwasababu akikosolewa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…