Huyu ndio china bwana mutoto ya kariakoo,jamaa ni bonge la comedian kila siku namwambia china unajua una kipaji cha uchekeshaji kinachoweza kukufanya uwe tajiri hapa bongo,anacheka tu,yani jamaa ukikaa nae lazima ucheke,ni mkali kuliko hata wale kina joti wanaochekesha kwa nguvu,china ukimuona tu kabla hajaongea lazima ucheke
Kumbe ni comedian! kajitahidi lakini kupunguza jam... lol