Kwanini Rais huyu anaonekana kama mcheza filamu wa Hollywood?

Hakuna siri,ni mazoezi tu,si unaona anavyopigika kwa mazoezi hapo kwenye video ya chini?
 
huko kwao wanakaa mguu mmoja ndani mwingine nje,
kipenga kikilia tu wao wanaanza mbio.
 
Sio siri lakini mchizi kweli yuko fiti hata ukimtizama unajua kajengeka kimazoezi tofauti na mzee mkapa enzi zile,kweli nimekubali mwili haujengwi kwa mawe bali mazoezi.
 
Back
Top Bottom