Huyu Ndio JK Bana!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Ndio JK Bana!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by obsesd, Feb 8, 2012.

 1. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hadi kufikia, tarehe 01 february 2012, Rais wa sasa wa Tanzania amesafiri mara 322 nje ya nchi. Ukizidisha io idadi ya tripu/safari (322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari, utapata jumla ya siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 (siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaan miaka 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania. Kwakuwa Rais JK ameingia madarakani mwaka 2005 na had sasa mwaka2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwaiyo Rais amekaa nje ya nchi zaidi ya nusu ya muda wake wote aliokaa katika nafasi ya urais(3.5 years out of 6 years).

  je Raisi hajavunja rekodi ya kuingizwa katika guiness book of records ya dunia? yan Rais amekaa nje ya nchi yake kuliko marais wote wa dunia? Rais gan amemzidi Raisi wetu?

  Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya hukosefu wa muda wa kuzisoma?

  GHARAMA!
  Safari yake ya mwisho( safari ya 322) ya Davos 25-28 january 2012, iliigharimu serikali Tsh mil. 300, nikiamua kuchukua theluthi mbili ya gharama izo yaan mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322 jumla yake ni 64,400,000,ooo. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ni bujeti ya kujenga zahanati moja kwa wastani utapata jumla ya zahanati 1288.
  Kwakuwa Tanzania ina jumla ya kata 2011, fedha hizi zingetosheleza kuweka zaid ya 60%. Ikumbukwe kuwa Tanzania wanawake wajawazito kati ya 24-36 kwa siku wanakufa kwasababu kadhaa ikiwemo ya kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali
  Tafakari mtanzania chukua hatua.
   
 2. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Duh, asee kweli kilogikale logikale.., yaani kweli tupu chala'angu.., Ndo matatizo ya urahisi wa kupeana, leo bara kesho pemba..
  Gademu...:smash:
   
 3. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchambuzi mzuri , scientific na ni ukweli. Dr Slaa alishasema JK ni janga la Taifa na sasa ndio tunashuhudia!!
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kazi Kweli Kweli.

  Karibu nusu ya muda wake madarakani yupo nje anakula nchi. Kweli huyu ndiyo Jakaya Mrisho Kikwete.
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Truely you are a great thinker dada.

  Duh, tusione ajabu yoyote kwamba hivi sasa mambo hayaendi kiasi hiki nchini. Kama rais anaweza akaishi nje ya nchi kwa wastani wa miaka 3.5 sasa mtu unategemea kuona kukitokea muujiza gani maendeleo nchini?
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  we noma
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Truely you are a great thinker dada.

  Duh, tusione ajabu yoyote kwamba hivi sasa mambo hayaendi kiasi hiki nchini. Kama rais anaweza akaishi nje ya nchi kwa wastani wa miaka 3.5 sasa mtu unategemea kuona kukitokea muujiza gani maendeleo nchini?

   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Sina hakika na figures lakini hii approach ya kukokotoa namba namna hii naipenda sana. Namba zinaweza kumulika tuyaone haya mambo kwa wazi zaidi.
   
 9. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  ryt w2 wote wangekua wanafikiri ka wewe 2ngekua mbal sana sa hiz...
   
 10. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Muuza sura aka bishoo aka sharobaro aka kilaza aka zero brain aka hajui lolote la maana la kuisaidia nchi..hivi misheni yake b4 kuukwaa uprzdaaa ilikuwa ipi,
   
 11. e

  ebrah JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nina wasi wasi JK anashikilia nafasi mbili za uongozi at once!!!! yaan Waziri wa mambo ya nje (cheo alichokuwa nacho awali) na Uraisi wa nchi
   
 12. M

  Mabewa Senior Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama statistic zilizowekwa hapa ni kweli basi ni hatari tupu...aah hayo mengine tuwaachie watanzania waamue ndugu yangu.
   
 13. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  inawezekana enzi yupo ile wizara ya kulazwa nje ya ndoa hakuifaidi ipasavyo.
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Natamani magazeti ya Shigongo ya Uwazi na Ijumaa yangekuwa yana qoute mambo kama haya uliyo ya Dadavua ,kwani sasa gutter press kama za shigongo ndio zinazosomwa na wapiga kura wengi wa CCM na ndio waliomchagua muheshimiwa wetu Raisi Mtukufu Jakaya Mrisho Kikwete
  Just imagine Front page ya Uwazi imewekwa picha ya kizushi mkulu wa nchi anashuka ktk Jet ya alafu pembeni kuna Title JK ktk ziara yake ya 322.
  najua anayasoma haya magazeti,labda ujumbe ungemfikia na kuwa na imani na watanzania wenzake, kwani kwa rasilimali tulizonazo yeye haitaji kusafiri,wazungu wenyewe wanakuja na wachina
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Uchambuzi wako una kina cha kutosha, na hapo umetupa ufahamu zaidi wengi ambao hatukuweza kupata picha muda gani rais amekuwa nchini na muda gani ameishi nje ya nchi.

  Utaratibu wa kuwa na Wizara ya nchi za nje na balozi za Tanzania nje ya nchi ni kwa sababu ya kufanya kiongozi wa nchi atulie nchini na kufanya majukumu yake ipasavyo, sasa kwa takwimu za uchambuzi huu nusu ya muhula huwa yuko nje ya nchi, hii ni hatari sana katika uongozi na ni udhaifu usio kifani. Nashindwa kuendelea kuongeza hisiia zangu msije mikaniona nimemkosea heshima kiogozi wa nchi.

  Kwa hali ilivyo Rais anaingilia majukumu ya aliowaaminisha kutuwakilisha Waziri wa nchi za nje na balozi zetu, maana yake watu hao wako tu kutalaa na kula kuku kwa mrija maana kazi waliyopaswa kufanya inafanya na Rais mwenyewe.
   
 16. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Jambo nina hakika nalo maana si kawaida nasafari zake au hamwamini Membe so inabisi awe naye hapa na hapa , maana Membeanautaka u rais na wanajuana michezo yaowaliyo fanya huko nyuma .
   
 17. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Bongo joto kali, Mzee anaogopa ngozi yake itababuka anaenda kupata upepo kidogo
   
 18. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sio noma kaka , hali inatisha yan mabilioni ya fedha ambayo yangetumika kufanya vitu vya maana yanatumika ovyo tuu yan na raisi wetu kwa safari zake zingine zisizo na sura wala mgongo inauma yan mmh!
   
 19. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kibaya nw tunatawaliwa bora liende yan! coz anajua kabisa kuwa amekwisha fail na kujiuzurii hawezii ni ishu nyingine ivyo tunapelekwa pelekwa tu ili mradi kipindi chake kimalizike. kwa ninavyomuona anatamani io 2015 iwe hata kesho yan mmh ili hajiondokee baada ya kutufanyia ndivyo sivyo ipasavyo.
   
 20. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0  umeona enh sasa huu ni upuuzi jaman na ni matumizi mabaya ya pesa za serikali!
  yan nataman kufanya kitu ila nways , time will tell tuwaache tu muda wao utafika.
   
Loading...