Naomba kuelimishwa,mamlaka ya mapato ktk kukadiria kodi wajasiriamali kwa mwaka huu wa 2012-2013,hapa ktk wilaya ya tunduru,wanahitaji bank statement ya mwaka uliopita na kwamba makadirio yate...
Siku hizi sisikii habari za mwana wa mfalme Ridhiwan Kikwete hata Salma na WAMA au wanawake wa wakubwa na maulaji. Je wamevimbiwa au wamenyamazishwa na bwana mkubwa baada ya kuona wanamvurugia kwa...
Hali ya huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imerejea kuwa katika hali ya kawaida baada ya wagonjwa walioondoka kutokana na mgomo wa madaktari kurejea kupata huduma.
NIPASHE jana...
ARUSHA
WILAYA YA MERU
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM
34,661
62.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA
19,123...
Tunaweza kuondoa wakuu wa wilaya,nchi nzima bila kuathiri shughuli za maendeleo.Watendaji waliopo wanaweza kutimiza wajibu wao bila matatizo yeyote na hawa jamaa kimsingi hamna kazi yeyote...
Hivi wana janvi naomba kuuliza swali Magamba ndani ya CCM ni watu au mfumo unaokiendesha chama? Kama ni watu kwa nini wasitajwe hadharani na kuchukuliwa hatua mpaka kusubiri wao wenyewe wachukue...
hii ni kwa mujibu wa katibu mwenezi wa ccm bwana nape nnauye.tusibiri utekelezaji kwani serikali ina muda wa wiki kama mbili hivi kutekeleza madai ya madaktari.
Waungwana naomba mwenye kuelewa anijuze kuna vifupisho vinanipa shida sana ninapopitia thread mbalimbali hapa jamvini baadhi ya vifupisho hivyo ni PM utakuta mtu anasema niPM mimi huwa naachwa...
Jamani, kama ninakosea nirekebishwe, lakini, hivi udaktari si kati ya fani za kuheshimika na hivyo ktk nchi nyingi madaktari ni watu ambao huwa na maslahi bora? Sasa iweje jamaa zangu madaktari...
Mwenye macho haambiwi tazama!Tumechoka kuzungumzia kero za nchi hii!Vitu vinapanda bei kiholela,hatujui anayetoa idhini ni nani,lkn wafanyabiashara wanajua trend ya upandaji wa bei!Barmade...
Mwanajamvi,
Leo hii inatimu siku ya 31(mwezi mmoja) tokea Mpiganaji na mwanajamvi mwenzetu Hayati Regia Mtema(rip) atutoke. Ilikuwa ni tarehe kama ya leo mwezi Januari(14/01/2012) ambapo dada...
Kwa ear say kuna habari kuwa serikali hii inakopa fedha za kulipa mishahara ya wafanyakazi wake kutoka kwa wafanyabiashara kama akina Bakhresa,manji nk,
mf mishahara ya mwezi jana imekopwa kwa...
Ndugu wanajamvi ni karibia siku 2 sasa kitaa hakuna umeme so mambo mengi nahisi yamenipita hasa ktk ulimwengu wa habari.
Hilo sio lengo la mimi kupost ila dhima kuu ni kuuliza ni kweli raisi...
people have to work so hard just to have enough money to barely feed their families? Subconsciously, we probably ask ourselves questions like these quite often. But consciously we rarely do...
Wandugu wapendwa kwanini Jf tusimteue Rais wetu?
Tuwe na wabunge wetu ambao tunawachagua wenyewe.
Mawaziri wetu ambao tunawachagua kufuatana na upeo wao.
Ma Polisi wetu ambao watawakamata wote...
Tangu rais kikwete aingie madarakani viongozi mbalimbali serikalini wamekumbwa na tuhuma mbalimbali hadi kufikia wananchi kutaka viongozi hao wafukuzwe madarakani na rais, lakini hakuna...
Imethibitika nchini kenya wanaume wengi wanapigwa na wake zao ndani ya familia. Kati ya waliohojiwa ni 30 percent tu wamepigwa kwa kutotimiza majukumu ya kifamilia na ulevi wa kupindukia. Asilimia...