Chadema tahadhari ya kuchukua kuhusu arumelu mashariki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema tahadhari ya kuchukua kuhusu arumelu mashariki.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by politiki, Feb 15, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  [TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUSHA
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA MERU[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUMERU MASHARIKI[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
  Political Party
  [/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
  Number of Votes
  [/TD]
  [TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
  Percentage Votes
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]SUMARI JEREMIAH SOLOMON[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CCM
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]34,661[/TD]
  [TD="width: 15%"]62.23[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]JOSHUA SAMWEL NASARI[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CHADEMA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]19,123[/TD]
  [TD="width: 15%"]34.33[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]JOHN YESAYA PALLANGYO[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CUF
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]265[/TD]
  [TD="width: 15%"]0.48[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]LINDA PENIELI BANA[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  JAHAZI ASILIA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]176[/TD]
  [TD="width: 15%"]0.32[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]FANUEL GABRIEL PALLANGYO[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  TLP
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]88[/TD]
  [TD="width: 15%"]0.16[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]CHARLES MOSES MSUYA[/TD]
  [TD="width: 20%"]
  UPDP
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]88[/TD]
  [TD="width: 15%"]0.16[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 5%"] [/TD]
  [TD="width: 15%"] [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"]1,297[/TD]
  [TD="width: 15%"]2.33[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
  [TD="width: 20%"] [/TD]
  [TD="width: 20%"]55,698[/TD]
  [TD="width: 15%"]100[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Matokeo hapo juu yanaonyesha kuwa safari ya arumeru mashariki haitokuwa ni cake walk kama tunavyoziona hizi namba juu. naomba sana chadema kuanza kufanya uchunguzi wa kina mapema sana kujua hasa ni maeneo gani ktk jimbo hili tulikokosa support kutosha na kuanza kufanyia kazi kujua ni kwanini tulipoteza maeneo hayo na nini cha kufanya.
  tuweke pembeni excuse ambazo ni none sense na kuanza kuangalia kuwa nasari alishindwa kwa sababu alizidiwa kimaarifa na CCM au idadi ya kura haikutosha, mimi binafsi ningependa kuchukua la pili kuwa ndio sahihi na kuanza kufanyia kazi kuanzia hapo kwani gap ili ni kubwa ingawaje linaweza kuzibika kirahisi kama tulivyojionea kule igunga. ile timu maalum ya statistics inabidi kuingia kazini na kuanza kuchambua namba za jimbo zima na kujua wapi pa kuanzia.

  kwa ushauri wangu wa haraka chadema ingeanza kutumia muda mwingi kwenye yale maeneo magumu na kuakikisha timu yao maalum inayafanya kazi huku kikosi kingine kinakwenda maeneo yale tuliyoshinda ilii kuwarudisha wale wote walioipigia kura chadema mwaka jana kwa nguvu moja. namba hizi zinaonyesha tuna kazi ya kufanya kwahiyo kama kawaida hakuna kulala.
   
 2. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mbona unatoa siri.
  washirisha maoni yako kwenye tovuti ya CHADEMA
   
Loading...