Msaada kwa wanaJF

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
Waungwana naomba mwenye kuelewa anijuze kuna vifupisho vinanipa shida sana ninapopitia thread mbalimbali hapa jamvini baadhi ya vifupisho hivyo ni PM utakuta mtu anasema niPM mimi huwa naachwa giza, pia kuna OTIs, mods na EL. nilipata pia shida kwa RIP nikagungua ni Rest In Peace , EL nikagundua ni Edward Lowassa, CDM nikagundua ni CHADEMA.Tafadharini waungwa naombeni msaada kwa mwenye kujua.
 
PM ni private message. ukienda kwenye profile yako utaona on your right nadhani kisehemu cha messages kama send new messages, inbox na sent items. OTIS ni jina la member wa JF. na member huyu anapenda kuweka jina lake kila mwisho wa michango yake kwa chini. Mods ni moderators wa JF ambao wanaangalia uendeshaji unavyofanyika wa JF na kupembua mbaya na nzuri katika michango ya wanaJF na kusikiliza malalamiko yetu etc etc....kama hii thread uliyoanzisha iko wrong place kwa hiyo mods wakiona wanahamishia kunakohusika kama jukwaa la habari mchanganyiko au elimu inategemea.
 
Hata mimi napata shida sana na kifupi hiki PTZ kama kuna mtu anafahamu anielezee maana yake tafadhali
 
Asante sana mkuu JS, nimekupata hakika na nimekuelewa hasa, nathibitisha maelezo yako kwa "Mods" kwani thread yangu hii niliipost jukwaa la siasa lakini kila nikisearch imeandikwa "moved" nimekuja hapa kwenye habari mchanyiko naikuta na ndo nikaona somo lako. Asante mkuu.
PM ni private message. ukienda kwenye profile yako utaona on your right nadhani kisehemu cha messages kama send new messages, inbox na sent items. OTIS ni jina la member wa JF. na member huyu anapenda kuweka jina lake kila mwisho wa michango yake kwa chini. Mods ni moderators wa JF ambao wanaangalia uendeshaji unavyofanyika wa JF na kupembua mbaya na nzuri katika michango ya wanaJF na kusikiliza malalamiko yetu etc etc....kama hii thread uliyoanzisha iko wrong place kwa hiyo mods wakiona wanahamishia kunakohusika kama jukwaa la habari mchanganyiko au elimu inategemea.
 
Asante sana mkuu JS, nimekupata hakika na nimekuelewa hasa, nathibitisha maelezo yako kwa "Mods" kwani thread yangu hii niliipost jukwaa la siasa lakini kila nikisearch imeandikwa "moved" nimekuja hapa kwenye habari mchanyiko naikuta na ndo nikaona somo lako. Asante mkuu.

Karibu sana Ptz
 
Back
Top Bottom