Nchi imeuzwa,viongozi wamegawana hela bila kutushirikusha!

Shansila

Senior Member
Jan 28, 2012
189
36
Mwenye macho haambiwi tazama!Tumechoka kuzungumzia kero za nchi hii!Vitu vinapanda bei kiholela,hatujui anayetoa idhini ni nani,lkn wafanyabiashara wanajua trend ya upandaji wa bei!Barmade ananiuzia bierre sh 1800 na ananibainishia kuwa hadi mwezi May bei ya maji ya mende itakuwa buku 2!Tunalo bunge,ambalo kila katikati ya mwaka huwa wanabishana pale Dom juu ya bei za bidhaa!Hapa katikati nani anayebishana pembeni ya camera?Vitu vingi sasa kila kukicha vinapanda bei na wabongo tinanunua tu!Kweli nchi hii ina utulivu!Pamoha na kuwa na social networking jsma JF & FB ambazo wenzetu Libya,Tunisia,Egypt n.k wamezitumia kudai uhuru,cc tunazitumia kuzodoana na kukejeliana!Huenda viongozi wanatumia mwanya wa ukondoo wetu kuuza nchi na kugawana pesa kimyakimya!
 
Adui no 1 wa mtanzania ni serikali legelege na dhaifu ya CCM,hivyo watanzania watakiwa kuachana nayo.
 
Serikali legelege, wananchi legelege, Viongozi mahayawani, wananchi mahayawani sijui nani wa kumsaidia mwenzake hapo
 
Serikali legelege, wananchi legelege, Viongozi mahayawani, wananchi mahayawani sijui nani wa kumsaidia mwenzake hapo

Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha, hamsin yao imekaribia, siku hiyo ni kiama kwao na familia zao!
 
Back
Top Bottom