Serikali ya Jk hoi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Jk hoi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ziltan, Feb 14, 2012.

 1. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa ear say kuna habari kuwa serikali hii inakopa fedha za kulipa mishahara ya wafanyakazi wake kutoka kwa wafanyabiashara kama akina Bakhresa,manji nk,
  mf mishahara ya mwezi jana imekopwa kwa bakhresa,
  kuna ukweli?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Du hatari kama ni kweli! TRA hawakusanyi kodi kwani au matumizi ni makubwa kuliko income?
   
 3. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nnachojua ni kuwa wahisani wamepunguza misaada
   
 4. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  "kumchagua kikwete tena ..litakuwa janga la kitaifa" Dk W. Slaa
   
 5. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dowans walishalipwa au mnajfanya kusahau?
   
 6. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Thibitisha ear say yako, vinginevyo ni uzushi.
   
 7. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Acha kukurupuka wewe umeshaona kuwa ni ear say halafu unakimbilia kudai ushahidi mbona kama hazikutoshi,
  nyie ndio mnaua hili taifa kwa wizi na umbumbu wenu mkituhumiwa mnakimbilia kuomba ushahidi wakati mnajua namna mlivyopanga hila zenu kupoteza ukweli,
  shame up you!!
   
 8. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hii taarifa nimemsikia Mzee Cheyo akiongea ktk VOAswahili kuwa balozi zetu huko nje ziko hoi wanashindwa kulipa hata mishahara ya kawaida tu kwa wafanyakazi
   
 9. M

  Mocrana JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mwezi wa 1 mshahara alikopwa low....
   
 10. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hivi Jk ametangaza nia ya kugombea tena 2015?
   
 11. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hapa ndio naona namna serikali inavyojiingiza matatizoni zaidi!!Huyo anayekopwa,anapewa nini inreturn?
  Je ni Msamaha wa kodi? Kesho na kesho kutwa,serikali itaweza kuwakoromea hawa wafanya biashara??
  Naihurumia nchi yangu!!
   
 12. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  wanauchumi tunaikomboaje nchi yetu?am scared for our countrys future
   
 13. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Dah! kumbe unajua inaweza ikawa tuhuma japo siyo rasmi, sasa wapi umeona tuhuma isiyo na uthibitisho...? then punguza kukurupuka mana siyo kila unachofikiri wewe kwa uelewa wako kinaweza kuwa sahihi au siy
   
 14. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tetesi hizi zilianza muda mrefu kuna kipindi hali ilionyesha kweli ni mbaya lakini hapo kati kama ilijistabalize. Lakini ukweli unabaki kuwa huduma za msingi katika serikali nyingi zimezorota sana, ni madeni matupu na muda si mrefu isipolipa itashindwa kujiendesha.
   
 15. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hili ni janga kubwa ajabu
   
 16. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,375
  Trophy Points: 280
  Nadhani ulikuwa unamaanisha hearsay!!!!!!!!!!!
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,006
  Likes Received: 2,658
  Trophy Points: 280
  We unafikiri kama kila siku nchi,inasherehekea sikukuu tu ambazo hazina faida zaidi ya hasara,mapato yatasalimika kweli?hii ni nchi ya sherehe bwana.
   
 18. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  last year mshahara wa october inasemekana AZAM aliwezesha....so nobody knows but time will tell....
   
Loading...