ccm yaitaka serikali kumaliza kabisa mgogoro wa madaktari

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
hii ni kwa mujibu wa katibu mwenezi wa ccm bwana nape nnauye.tusibiri utekelezaji kwani serikali ina muda wa wiki kama mbili hivi kutekeleza madai ya madaktari.
 
nadhani ni mojawapo ya maazimio katika kikao cha nec

huyu kakurupuka tu ili kujikosha. This ishu ni ya kiutendaji zaidi kuliko kwenye majukwaa ya habari. Ndo maana hata pinda alipogundua amedanganywa akaja kutubu. Wanatafuta namna ili waonekane wao wanawathamini na kuwatetea madaktari.
 
kuna wakati waliagiza serikali ipunguze bei ya mafuta ya taa....... sijui imefikia wapi? au wanafuata upepo? kitu ikiwa kwenye peak kila mtu anaiongelea nao wanaongea kuijpatia umaarufu,lkn kwa ukweli hakuna ufuatiliaji. danganya toto hiyo...............
 
Back
Top Bottom