Ndugu wanajamvi ni karibia siku 2 sasa kitaa hakuna umeme so mambo mengi nahisi yamenipita hasa ktk ulimwengu wa habari.
Hilo sio lengo la mimi kupost ila dhima kuu ni kuuliza ni kweli raisi Robert Mugabe amefariki?maana nimekaa kwenye daladala naenda kwenye mishe ndio kuangalia abiria mwenzangu anasoma gazeti kuna heading kuubwa "mazishi ya Mugabe yatikisa" huku pembeni kuna picha yake!
nimeshtuka ila sina update zozote,naombeni mnifafanulie kama ni kweli.