Yuko wapi Ridhiwan au ndiyo amevimbiwa na maulaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi Ridhiwan au ndiyo amevimbiwa na maulaji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Feb 15, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siku hizi sisikii habari za mwana wa mfalme Ridhiwan Kikwete hata Salma na WAMA au wanawake wa wakubwa na maulaji. Je wamevimbiwa au wamenyamazishwa na bwana mkubwa baada ya kuona wanamvurugia kwa kujiingiza kwenye deals ili hali wakijua jinsi Ben Nkapa na familia yake wanavyoishi uraiani kwa hisani ya JK? Je wamehofia kuwa mambo yanaweza kugeuka au wanazuga?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  :bange:
   
 3. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 280
  :juggle:
   
Loading...